Why smile?

Umeona eee!
Sio kila tabasamu linaamanisha furaha!

Ni kweli, unaweza ukawaza masahibu yaliyokupata ktk maisha, mwisho unajikuta automatically umesmile.
Inarudisha afya kidogo japo machungu ndo yamekufanya usmile.
 
Thanx Koku now I have something to tell people who question my smiling in most of my photos.
 
Smile yafaa sana hasa kwa upande wakina dada. Ila unaweza ukakutana na

mwanadada/mwanamama sijajua ni frustration za maisha au ndo mateso kutoka kwa wenzi wao

yaani sura ukiiona unatamani umpishe tuu! Smile inapendezesha uso jamani!

Yaani. Na siku hizi wanatumia mikorogo aisee bac sura nimekauka kweli
 
Back
Top Bottom