Why shiling is depreciating at alarming speed!

Britain's first recession in 16 years may have begun

The first evidence that Britain may have entered its first recession in 16 years is expected to emerge today as official figures reveal that the economy is contracting.

By Jon Swaine
Last Updated: 11:56AM BST 24 Oct 2008

Between June and September, the economy shrank for the first time since 1992, the Office of National Statistics is expected to say.

Economists have forecast that Gross Domestic Product in the third quarter was between -0.1 per cent and -0.5 per cent.

The announcement, which comes after the economy failed to grow the previous quarter, would suggest that a recession - defined as two consecutive quarters of negative growth - may have begun.

It comes at the end of a week in which Mervyn King, the Governor of the Bank of England, gave a stark warning that Britain was entering recession and Gordon Brown spoke in similar terms for the first time.

The Prime Minister, who said it was "likely" that several countries, including Britain, faced recession, had previously only been willing to concede that the country was caught in a financial storm born in the US.

Soaring unemployment, large rises in the price of energy and food, tumbling house prices and the reluctance of banks to lend due to the credit crisis have all contributed to a sharp domestic downturn.

The crisis has seen the value of sterling plummet, with the pound - which has fallen below $1.60 for the first time in five years - now down more than 10 cents this week against the dollar.

Share prices across Asia tumbled on Friday morning in a sign that the crisis that has savaged markets around the world in recent weeks is not yet over.

In another sharp slump, Tokyo's Nikkei 225 lost about nine per cent to its lowest level in more than five years.

Meanwhile South Korea's Kospi index continued its own freefall, plunging another 6.2 per cent, falling below the psychologically crucial 1,000 mark for the first time in three years, while Hong Kong's Hang Seng slid by almost five per cent.

Howard Archer, an economist at Global Insight, predicted that Britain's GDP would be -0.2 per cent and that two more quarters of negative growth would follow before the economy begins to stabilise.

"It's hard to see in the near term what's going to lead to an improvement," Mr Archer said.

"Unemployment is rising and will continue to do so, the housing market is going to drop further and share prices have tumbled.

"And even if the bank bail-out works, it is going to take some time before credit is more available, so the consumer is really constrained.

"Even though inflation is coming down, there are a lot of factors that this cannot offset."

.
 
haya yanatisha ...kimbembe kitaanza pale tukianza kukosa kazi,tell me uta survive vipi kwenye nchi hizi za WEST ambako kila kitu ni pesa? watu wataanza kutafuta tickets kurudi bongo maana huko ni bora unaweza kuzamia kwa mshua mkala mchicha kuliko huku maana hata hilo shelter naona litakuwa limejaa,jamani hii kitu ni more than serious na wala sio kucheka na pls anzeni kusave pesa zenu na mkate matumizi!
 
Tayari mabenki yameshapunguza watu 150,000

Next Friday, markets will be bracing themselves for perhaps the biggest potential shock of all – as America reveals its gross domestic product (GDP) figures for the third quarter.

If the number is a negative one, as some suspect that it will be, then the markets will have all the confirmation they need that the world’s largest economy is in recession, and who knows what impact that might have on share prices. Brace yourselves.

Brace yourself for more market upheaval

Source: Latest Recession news from the UK and world - Telegraph

.
 
Of course the figures will be negative, of course we have been in a recession for the longest, we are probably staring into a depression right now.

When government figures admit we are in a recession, think depression. When government figures say 10 people died in a disaster, think more like 20.
 
Mwanzoni mwa 2008 £1 ilikuwa shilingi 2500, leo naangalia iko chini ya shilingi 2000.

Ukilinganisha na pounds shilingi imepanda au pound imeanguka!
 
=Mtanzania;308888]

Kibaya zaidi kadri Watanzania walioko nje wanavyopoteza kazi, ndivyo pesa zinazotumwa TZ zinavyozidi kupungua na hivyo kuifanya shilingi iendelee kuanguka.

Hili vilevile linachangia kwa kiasi kikubwa,mimi niko karibu na mtanzania mmoja ambaye ni agents mkubwa wa money transfer huku UK, na takwimu anazonipa zinatisha! In general kwa wiki alikuwa anapokea wastani wa £5,000 toka kwa watanzania wa UK kwenda kwa ndugu na jamaa zao huko nyumbani, kwa kuanzia May trend imebadilika,mwezi huu wa october ndio inatisha!! His average collections now ni £500 kwa wiki, hii inamaanisha serikali imepoteza almost 90% ya foreign currency contributions toka kwa watanzania waishio nje na imezidisha ugumu wa maisha kwa familia zinazotegemea misaada ya jamaa. Kila mtu anajaribu ku-save kile alichonacho kwa vile hali imekuwa inatisha sana na hakuna anayejua whats future hold? Si ajabu mambo yakiendelea kuwa hivihivi basi wengi tutaamua kuchukua Break na kurudi nyumbani ndio maana kila mmoja anajaribu ku-save. Mimi nilikuwa natuma £200 ya mapato yangu ya mwezi kusaidia jamaa huko nyumbani lakini sasa siwezi kufanya hivo kutokana na sababu mbili, kwanza nahofia unemployment (najaribu ku-save every penny) na pili rising cost of living hapa nilipo vimenipelekea kufanya hivyo, na naamini hio ni situation inayotukabili wengi wetu.
 
Kweli,

Nakubaliana na observation yako lakini pia kunaweza kuwa na sababu zingine zilizosababisha watu waache kumtumia huyo agent kwa kiasi kikubwa hivyo.

Kwa mfano Western Union sasa wameshusha sana gharama zao za utumaji pesa Afrika hasa kwa pesa ndogo ndogo. Mimi huko nyuma nilikuwa natumia bank kupeleka pesa TZ, kwasasa natumia Western Union maana tofauti sio kubwa sana. Hata kama natuma nyingi bado sasa natumia WU maana ni haraka na tofauti na bank sio kubwa sana, ukichukulia huku kama ni Barclays wana charge £30 na kule nyumbani wakati wa kutoa bank wanakukata pia.

Ila ni kweli tupu huu muda ni wa kusave, kulipa madeni ili hata ukipoteza kazi basi usiwe na liabilities zingine na hivyo kuweza ku survive kwa minimum income. Tuombe mungu tutasalimika tu na good times zitarudi tena.
 
Hii credit crunch noma na nikifikiria prospect ya kurudi minazi mirefu akili yote inaniruka finger crossed....
 
Kweli,

Nakubaliana na observation yako lakini pia kunaweza kuwa na sababu zingine zilizosababisha watu waache kumtumia huyo agent kwa kiasi kikubwa hivyo.

Kwa mfano Western Union sasa wameshusha sana gharama zao za utumaji pesa Afrika hasa kwa pesa ndogo ndogo. Mimi huko nyuma nilikuwa natumia bank kupeleka pesa TZ, kwasasa natumia Western Union maana tofauti sio kubwa sana. Hata kama natuma nyingi bado sasa natumia WU maana ni haraka na tofauti na bank sio kubwa sana, ukichukulia huku kama ni Barclays wana charge £30 na kule nyumbani wakati wa kutoa bank wanakukata pia.

Ila ni kweli tupu huu muda ni wa kusave, kulipa madeni ili hata ukipoteza kazi basi usiwe na liabilities zingine na hivyo kuweza ku survive kwa minimum income. Tuombe mungu tutasalimika tu na good times zitarudi tena.[/QUOTE]

karubuni home bandugu, home is home, inawezekana huo ukawa ndo mwanzo wa maisha mazuri kwa kila mbongo, kwi kwi
 
Wakati tunaongelea kuporomoka kwa uchumi wa Dunia na kushuka kwa thamani ya shilingi, kuna hili nimeliona tena kutoka kwa Kikwete ambalo amelifanya kuwa ni shina la maendeleo la Taifa la Tanzania na hata jumuiya za kiuchumi.

Akihutubia mkutano mjini Kampala majuzi, Kikwete katoa kauli kuwa COMESA, SADC na EAC zijiunge na kuwa na mshikamano wa kiuchumi hata kisiasa.

Hilo ni sawa kabisa, linalonitatiza mimi ni kung'ang'ania kwa Kikwete kusema kuwa tuwe na soko huria (free market and free trade) na kuongeza kutegemea sekta binafsi.

Kikwete na hata Mkapa walijijenga kwa kudai kuwa maendeleo ya Tanzania yatatokana na Uwekezaji, Sekta Binafsi na Soko Huria. Hilo si dhambi, lakini ubaya wa Sera zao (Mkapa na Kikwete) ni kukosekana kwa msukumo kutoka Serikali yetu kuhakikisha kuwa Wananchi wa Tanzania wanakuwa washiriki wakubwa na wamiliki wa uchumi na si kukimbilia wageni au bidhaa za kuagiza.

Sasa hapa ndipo kilio changu cha kusema CCM adui wa maendeleo kinapokuja. Badala ya CCM kuhamasisha tija, juhudi na maarifa ili kuboresha uzalishaji mali ndani ya nchi na kupitia Wananchi wake, CCM imeonelea kuwa njia pekee ya Tanzania kufanikiwa ni kuingia katika soko huru na uwekezaji wa kutoka nje.

Namnukuu Kikwete kwenye hotuba yake ya Kampala

Quote:
``A free trade area performs better with a customs union. I appeal to you to reflect the importance of coming together as one after this summit,`` he said.

He explained that good infrastructure served as a bridge to African countries’ development, adding that it was crucial for the regional blocs to decide on ways to make that possible through a fast implementation plan as agreed.

The president also commented on the raging international financial crisis, saying it was now especially difficult for African countries to get outside funding and therefore time for them to devise ways to remain steady and stable without depending too heavily on such assistance.

``We should encourage private sectors, foreign and local, to contribute to the efforts of improving the infrastructure,`` he said.

Anachosahau Kikwete pamoja na nia yake nzuri ni kuwa Tanzania bado haina uwezo wa ndani wa kuzalisha na kujitosheleza, hata zile bidhaa ambazo malighafi zake zinapatikana ndani ya nchi.

Tanzania ya leo ni mnunuzi mkubwa (consumer) na si mzalishaji (producer and supplier) na ndio maana tuna madeni makubwa na kukosekana kwa uwiano wa uuzaji na uagizaji wa bidhaa ambao umekimbilia kuifanya Tanzania ipoteze nguvu ya sarafu yake na hali ya maisha ya Watanzania kuendelea kuwa duni.

Tanzania ya leo haina mpango kabambe wa kuboresha Kilimo, Ufugaji au Uvuvi bila kutegemea Wageni wawekezaji waje kutuokoa. Sasa tutakuwaje na uwezo mzuri kiuchumi ikiwa Kenya, Uganda na Congo bila kusahau Malaysia, Thailand na India ndio watakuwa wakituuzia chakula huku wakulima wetu wakiwa hawana uwezo wa kulima na kujitosheleza au kulisha familia zao?

Ni mfumo gani huu wa Uchumi na kwa utajiri gani Tanzania inakimbilia kuimba kwa sauti kuu kuwa tuwe na Soko huru, huku haina uwezo wa kujitosheleza na inategemea misaada na kuaiza bidhaa?

Watanzania watafaidika nini ikiwa hakuna msukumo wowote wa kubadilisha mfumo wetu wa Uchumi na Uzalishaji kwa kuchochea Tija, Juhudi, Maarifa ili kuunda Taifa linalojitegemea na linalopambana na Umasikini?
 
Kweli,

Nakubaliana na observation yako lakini pia kunaweza kuwa na sababu zingine zilizosababisha watu waache kumtumia huyo agent kwa kiasi kikubwa hivyo.

Kwa mfano Western Union sasa wameshusha sana gharama zao za utumaji pesa Afrika hasa kwa pesa ndogo ndogo. Mimi huko nyuma nilikuwa natumia bank kupeleka pesa TZ, kwasasa natumia Western Union maana tofauti sio kubwa sana. Hata kama natuma nyingi bado sasa natumia WU maana ni haraka na tofauti na bank sio kubwa sana, ukichukulia huku kama ni Barclays wana charge £30 na kule nyumbani wakati wa kutoa bank wanakukata pia.

Ila ni kweli tupu huu muda ni wa kusave, kulipa madeni ili hata ukipoteza kazi basi usiwe na liabilities zingine na hivyo kuweza ku survive kwa minimum income. Tuombe mungu tutasalimika tu na good times zitarudi tena.[/QUOTE]

karubuni home bandugu, home is home, inawezekana huo ukawa ndo mwanzo wa maisha mazuri kwa kila mbongo

Mwikimbi,

Huko hamunioni katu! kwi kwi kwi!!
 
Mwanzoni mwa 2008 £1 ilikuwa shilingi 2500, leo naangalia iko chini ya shilingi 2000.

Ukilinganisha na pounds shilingi imepanda au pound imeanguka!

Currency ya Euro isingekuwepo hali ingekuwaje?
Mtu akiagiza mzigo Japani/China anaweza kufanya malipo kwa currency ya Euro au sio?

.
 
Back
Top Bottom