Why Red Devils/Kwanini Mashetani Wekundu???

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Katika jamii zetu za Kiafrika tunaamini kuwa kuna baadhi ya Nomino/majina sio mazuri kuwapa watoto wetu kwani hayawabariki kabisa na na ikitokea mtoto mwenye jina la ajabu amepata matatizo wengne husema jina limechangia.

Tuje kwenye mada yenyewe...katika timu mbalimbali za mpira wa miguu huwa na majina mengine ya utani au aka,mfano Kwetu Tanzania.Azam(lambalamba),Mtibwa(wakata miwa),Coastal union(wagosi wa kaya),Simba(mnyama/sunderland),Yanga(watoto wa jangwani/kuala lumpa)...nk

Uingereza kuna,Arsenal(the gunners),Chelsea(the blues),Liverpool(vijogoo wa Anfield),Leicester city(The fox).

Manchester United(RED DEVILS/MASHETANI WEKUNDU)...Hapa ndo nimeshangaa katika sehemu yyte ile sijawai kuckia mtu akimwita mtoto wake Shetani,kiuhalisia sio jina nzuri kbsa kwani wote tunafahamu matendo ya shetani ni matendo maovu tu na hana jema lolote lile.

Najua humu ndani kuna/tupo wapenzi wa Manchester United ambapo kesho tupo OT kucheza na Leicester city.

Usaidizi ni kujua kwann Timu hii ya Manchester United iliamua kutumia jina hilo kama jina lake na Utani?Je na pale Uingereza jina hilo linatumika? Na kama hakuna sababu ya msingi je kuna umuhimu wwte wa Manchester United kubadlili jina hilo??

Karibuni kwa Michango Yenu..
 
Wote hao ni waabudu shetani
Red devils ni wafadhili
The gunners ni watengeneza silaha
Nitakuja na kisa kizima
 
Mlozi sasa hivi yuko jukwaa la photo, hataki kuishusha tena thread.
Chenga sana yule
Mkuu heshimu "Wakongwe" ni vichwa huwa hawadanganyi

Hata Black Stars (Ghana) ni waabudu shetani ndio maana wanajiita Nyota nyeusi/weusi

Similar Discussions

Back
Top Bottom