Why people argue/ask for sex?

Roxea

Senior Member
May 18, 2012
182
48
Whats up pals,
I really need your helpful and productive opinions,ideas about the question on title,it seems to be so very potential katika ku-stabilize affairs but when it comes to me haiko na priority kiivo tena hua inanifanya ni m-devalue kabisa nlofanya nae cha ajabu nikua nimewahi kuachwa 2times just because of sex,
pals help me out nijue ili niweze ku-magnify its better side sitaki kuachwa tena this time
 
hiyo lugha gani mwenzetu? kiswakinge loh! tumia lugha ipasavyo kama kiswahili au kiingereza unachanganya mno hata haueleweki, mimi binafsi sijakupata kabisaaaaa!
 
current natumia phone...swali langu ni wew ni she or he? Then ntarudi...
 
Hahahaaaa! Sex bwana dawa yake ni moja tu, USIWAZE MARA 2, Ukiwaza tu unaloooo! Hutofanya au utaahirisha. Mwanzoni ndo inavokuwaga ila ukizoea UNAOMBA mwenyewe
 
Sex is a heart of everything in this world....mambo mengine yote ni mbwembwe tu,
And that is why people argue,ask and even bargaining about it! we jipange tu ili uendane nayo vizuri

I hope hapa unamaanisha making love, maana sex ni jinsi,
 
Nnamaanisha sexual intercouse,yaani ivi;
 
Attachments

  • attachment.jpeg
    attachment.jpeg
    5.7 KB · Views: 232
Hahahaaaa! Sex bwana dawa yake ni moja tu, USIWAZE MARA 2, Ukiwaza tu unaloooo! Hutofanya au utaahirisha. Mwanzoni ndo inavokuwaga ila ukizoea UNAOMBA mwenyewe

hahahaaaa kweli eti eeeeh
 
Waafrika bwana yaani mnaomba, kama hakuna watu hapo kwako ni popote tu, jikoni, sebuleni bafuni, sharti mme vaa msuri na ke kanga moja na mda wote uwe tayari hakuna kuomba omba.
 
hiyo lugha gani mwenzetu? kiswakinge loh! tumia lugha ipasavyo kama kiswahili au kiingereza unachanganya mno hata haueleweki, mimi binafsi sijakupata kabisaaaaa!

poole Laaziz,ila kwa ufupi nikwamba kwanini watu hudai,hutaka au huitaji ngono?
 
funguka sasa gagurito maana mi naona sex sio big deal ila vipo vitu vingne ambavyo ndo mpango mzima nasio sex

Mkuu sex ndio climax ya mapenzi, NDIO TENDO LA NDOA HASWAA! Ni muhimu sana, vitu vingine sio vya kuhoji kijana!
 
suluhisho usiwe na mpenzi, mambo ya kufanywa zombie nani anataka?

Kwani kazi yake ni nini? Kushika kalamu? Au kupika?
 
Waafrika bwana yaani mnaomba, kama hakuna watu hapo kwako ni popote tu, jikoni, sebuleni bafuni, sharti mme vaa msuri na ke kanga moja na mda wote uwe tayari hakuna kuomba omba.

aiseee! ila kidzude ni nini hasa kinachowafanya wakue hivyo?ndo kuthibitisha upendo,uanaume au.....?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom