nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
By ELISHA MAGOLANGA

Tanzanias strategic position in the continent, its abundant natural resources and countering Chinas advances to Africa have been cited as some of the reasons why President Barack Obama chose to visit Tanzania in his tour of Africa next month.

Mr Obama, who is the first African American US President, comes just about three months after new Chinese President Mr Xi Jinping visited the east African country.

The US Presidents tour of Africa will start on June 26 and end on July 3. In addition to Tanzania he will also visit Senegal and South Africa. Mr Obama becomes the third consecutive US President to visit Tanzania after Bill Clinton in 2000, and George Bush in 2008.

Experts who spoke to The Citizen shortly after the tour was confirmed by both the US and Tanzanian governments on Tuesday argued that Mr Obamas visit, coming hot on the heels of his Chinese counterpart, is not coincidental.

The visit, they add, is the continuation of a scramble for resources between the two major economic superpowers.

Prof Issa Shivji, the head of the Mwalimu Nyerere Professorial Chair in Pan-African Studies at the University of Dar es Salaam (UDSM), told the daily that the shifting centres of global economic and political power, the growing economic muscle of the most of Asia and Tanzanias strategic position and its natural resources abundance are some of the reasons why Mr Obama is visiting Tanzania, in particular, and the continent in general.

Long shoreline
Prof Shivji noted that after Somalia, which has been destroyed, Tanzania has the longest shoreline on the Indian Ocean.

Zanzibar is also a strategic island in the Indian Ocean and the mainland is the only land mass which connects the Indian Ocean with Central Africa, one of the richest regions in the world. Tanzania itself is rich in natural resources, including oil, uranium, gas and so forth, Prof Shivji noted.

Dr Amon Mbele of UDSM's Department of Economics noted that Mr Obama's visit shows the huge potential the country has in global political and economic arena.

"The country could be having that strategic importance to global affairs over and above that we might not be aware of as citizens of the country," Dr Mbelle noted.

Tanzania's minister of Foreign Affairs and International Cooperation Bernard Membe said the purpose of Mr Obamas visit is economical.

|He is coming here with a group of 500 businessmen and investors. All these are looking for investment opportunities in the country because it is stable and peaceful," Mr Membe said. Mr Obama will be accompanied by a total delegation of more than 1,200 people, according to him.

Countering Asia
A statement released by the US Embassy in Tanzania on Tuesday said the visit will reinforce the importance that the United States places on deep and growing ties with countries in sub-Saharan Africa through expanding economic growth, investment, and trade; strengthening democratic institutions; and investing in the next generation of African leaders.

But Prof Shivji said countering Chinas economic rise in particular and shifting of centres of global power to Asia is another reason Mr Obama is visiting Tanzania and the continent.

"We must situate Obamas visit in a bigger picture. The US does not have the same hold on Asian countries as it used to have.

"Asians are playing the game by the same rules as US capitalists did and are proving to be better at it. And it is in US's interests that it counters China. In this scenario, Tanzania, Senegal and South Africa are strategic," Prof Shivji said.

Professor Abdallah Safari, a lawyer who worked at the Tanzania Mozambique Centre for Foreign Relations, also conquered with Prof Shivji that the visit has something to do with neutralising Chinas foray into Africa.

Dr Mbele, advised the Tanzania Tourism Board (TTB) to use the advantage of Mr Obamas tour to promote the country as tourism destination.

"We should not make the mistake like the one we made during the Chinese President's tour, of failing to tap into the growing Chinese tourism market, Dr Mbelle noted.

Wednesday, May 22 2013 at 10:58
 
Tanganyika what an IMPORTANT Country? Or we really Important because of NATURAL RESOURCES.
How are we going to make all of our people IMPORTANT?

CCM has moved from Left to Middle-Right in Political Economy. CCM is no longer Socialist Party it is NeoLiberal- Wamefanya some changes on the political Ideology wameondoa NEOLIBERALISM sasa ni CENTRAL- LEFT
 
Watakuja wengi sn Tanzania, mama Clinton umesahau kumtaja. Mmmh nakumbuka pia kati ya sehemu ambazo Clinton (rais mstaafu) alitembelea ni Mtwara tena huku alienda hadi kijiji kimoja kinaitwa Kitele, kuna eneo huko kanunua na ndani ya eneo hilo kuna bwawa ambalo kwa sasa linaitwa Clinton. Wamakonde wanajiuliza kuna nn kwenye lile bwawa zaidi ya wale samaki? Hadi leo jibu hakuna.
 
Ujio wa Rais Obama wa marekani tanzania yafaa tuwe makini sana kwani sera ya Marekani inasema we have no permanent friend or permanent enemy but we have permanent interest, hivyo wao wanamaslahi ya kudumu ivo tuwe makini na uwekezaji toka Marekani.
 
Tushachelewa,uzuri wa wenzetu Marekani hata wakibadilisha chama katika utawala lakini malengo na sera zao za nje huwa havibadiliki na Obama anakuja Tanzania kuendeleza ajenda za utawala Bush Jr
 
Tanganyika what an IMPORTANT Country? Or we really Important because of NATURAL RESOURCES.
How are we going to make all of our people IMPORTANT?

CCM has moved from Left to Middle-Right in Political Economy. CCM is no longer Socialist Party it is NeoLiberal- Wamefanya some changes on the political Ideology wameondoa NEOLIBERALISM sasa ni CENTRAL- LEFT

Wacha ideology zako za mwaka 47 niambie nchi gani bado ipo far left inayofanya vizuri? Russia? China?

Angalau Korea kusini labda kidogo na chamoto wanakiona.
 
Wakenya wanalalamika sana Obama haendi kwao na nina hakika watashawishi vitu vingi vya ujinga ujinga kwenye vichwa vya watanzania ili tuamini kwamba sisi tunapoteza. Ukweli ni kwamba walipenda sana ugeni huu upite Kenya sema ndio hivyo imekula kwao. Kwa sasa Tanzania chini ya JK ndio habari ya Africa ndio maana ameacha nchi zote za Africa amechagua nchi 3.

Najisikia fahari sana nchi yangu kuwa miongoni mwa nchi 3 kutembelewa na ugeni huu hii inaonesha kwamba yapo mazuri ambayo wenzetu wenye darubini wanayaona huko nje lakini sisi wa ndani hatuyaoni.
 
Hata kibaka hawezi iba kwao na akiiba kwao ni last option kabisa sasa iweje obama akawaibie wakenya wenzake akasaini mikataba ya wizi nyumbani kwake?

Haiwezekani lazima aje aibe mbali kidogo na nyumbani. Watanzania sisi ni wajinga sana hasa viongozi wetu wote ni hovyo hawasomi mikataba wanaanguka tu signature? Aisee inauma sana
 
Obama ni mmarekani sio Mkenya!!

Unaposema kwao yeye anajitambua kama mmarekani.
 
Wakenya wanalalamika sana Obama haendi kwao na nina hakika watashawishi vitu vingi vya ujinga ujinga kwenye vichwa vya watanzania ili tuamini kwamba sisi tunapoteza. Ukweli ni kwamba walipenda sana ugeni huu upite Kenya sema ndio hivyo imekula kwao. Kwa sasa Tanzania chini ya JK ndio habari ya Africa ndio maana ameacha nchi zote za Africa amechagua nchi 3.

Najisikia fahari sana nchi yangu kuwa miongoni mwa nchi 3 kutembelewa na ugeni huu hii inaonesha kwamba yapo mazuri ambayo wenzetu wenye darubini wanayaona huko nje lakini sisi wa ndani hatuyaoni.
Kwa maelezo yako sijaona tofauti na yule aliyetoa sifa za kuwa Rais wa kwanza kuonana na Obama, huyu jamaa anakuja kwa lengo la Kuchukua vitu na kutuachia mashimo mkuu wewe unafurahia issue hii?

Hivi unafikiri ni kitu gani kizuri atakachokuletea Obama? Ataboresha huduma ya Afya? Au atahakikisha huduma ya maji inawafikia waTZ wote kwa asilimia mia? Au ndo yatakuwa yale ya kuwaachia Vyandarua na nyinyi kumuachia Mgodi.

Tutafakari kwa kina kmama Watanzania.
 
Ushindani wa nchi mbili tajiri kuongeza ushawishi wao katika bara la Afrika. China amekuja tanzania na ahadi nyingi na mipango mingi ya maendeleo hasa katika maliasili na mpaka hapo marekani ameshidwa katika hilo na hawezi kushindana na mchina katika kumiliki mali asili barani afrika na ujio wa obama afrika unakuja kuangalia na kumiliki fursa zote za financial kuanzia bank na nguvu ya taasisi za fedha katika hili sito shangaa kuona zanzibar ni kituo cha taasisi za kifedha barana afrika kinachomilikiwa na taasisi za kimarekani.
 
Kaja Bush na Clinton, Je maisha ya watanzania kwaujumla yamebadilika, au nizile sifa za kijinga kwamba tumetembelewa na Rais toka US.
 
Tanzania ni shamba la bibi, alafu kuna natural resources nyingi. Angepita Kenya, lakini hakuna natural resources lakini mbaya zaidi kuna Uhuru Kenyata ambaye ana kesi The Hague lakini ni raisi aliyechaguliwa.

Usione hawa jamaa wakija tuuu, sijui Clinton, Bushi, Obama… kwanza sasa hivi anafurahia sana kusikia kimenuka huko Mtwara, hataki kuona Mchina anazengea resources hapa Africa
 
Wacha ideology zako za mwaka 47 niambie nchi gani bado ipo far left inayofanya vizuri? Russia? China?

Angalau Korea kusini labda kidogo na chamoto wanakiona.

Yeah sasa nilijua kuna mtu atapingana na hiyo neoliberalism. Kama ungeweza ku-google chama cha mapinduzi uangalie political ideology utaona ni former african socialism na sasa hivi Chama cha Mapinduzi kipo central-left... Hii ni uptodate waliofanya 4 days ago.

Kwasababu ungei-Google Chama cha Mapinduzi wiki iliyopita wanasema political ideology yao ni neoliberal na pia ni central-right party ina maana ni chama cha kipepari.

Nitakuwekea hiyo google ya last 2 weeks na changes wamefanya 4 days ago; na bado hawajaweka ideology mpya...

Hapo ndio nimejua JamiiForums powerful wanaisoma. Just Google Chama cha Mapinduzi

Na wanakilaumu Chadema kuwa central

Umesikia kuwa CCM inasema ideology yao tena? Hawaongelei hata siasa za ujamaa na kujitegemea tena kabisaaa...

Jaribu kuangalia jinsi chama kinavyojitangaza nje ya nchi, ndio ideology zake. Kuwa mchunguzi kama unapenda nchi yako; sio kila siku viongozi wanachokiongelea ni cha kukunufaisha mwananchi.
 
Kaja Bush na Clinton, Je maisha ya watanzania kwaujumla yamebadilika, au nizile sifa za kijinga kwamba tumetembelewa na Rais toka US.

Marais wawili wa CHINA pia walikuja -- Kwani Maisha yamebadilika? au USIRI na MIKATABA na WACHINA ndio IMEONGEZEKA

Ubora ni kuwa na Rais SHUPAVU ambaye angeweza kabisa - kutumia hizo ADVANTAGES kwa Wananchi wake walio Masikini...
 
I dont see any change in Tanzanian living standard
Nadhani unaziona lakini hautaki kukubali kama ni kweli ndio sababu za kupata ugeni toka China na USA

Mfano mzuri ni jinsi gap kati ya tajiri na masikini ilivyoongezeka; jinsi viongozi wetu walivyo na accounts uswis

Jinsi majumba ya kifahari yanavyoshindana huko na huku nchini na haujui hizo pesa zinatoka wapi?

Jinsi mlala hoi anavyozidi kunyonywa. Mashamba kwa njia ya ardhi zinachukuliwa na wageni kupita miaka 30 iliyopita

Magari ya kifahari nchini. Wakati ophan's wanaongezeka nchini.

Yeah lot's of changes. What a country.
 
Hapa ndipo najiuliza Rais wa marekani anaipendea nini Tanzania? Hizi rasilimali zaweza kuwa laana hapo baadae,kwani nijuavyo mimi hata siku mmoja wazungu hawapendi watu wengine waendelee kama wao au zaidi ya wao, kwa lugha rahisi hawapendi kupata washindani wa katika mambo yote ya kiuzalishaji.

Swali kwanini vita vimeenea katika nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea? .Wazungu wanajua km si nchi zinazoendelea wazungu watalala njaa [ndo wanaishia kuwapa na kuwauzia silaha za kivita makundi mbalimbali duniani ili waibe rasilimali kwa nafasi],ila sisi hatujijui kuwa tunaweza kuishi bila wazungu.

Wazungu na misaada yao nimaafa na yataendelea kuwa maafa kwa kuwa nchi zinazoendelea kuna watawala hakuna viongozi. Tusubiri natuone.
 
Back
Top Bottom