WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani?

Nilishawahi kusoma thread moja hapa ilikuwa inaongelea kwanini watu wafupi wakali sana...mmoja akasema pia huwa wanakuwa successful walio wengi.....sasa hapa niko mwanza, nilienda kahama, nikaenda morogoro na bukoba before niko hapa leo,..hapa mwanza nina kama mwezi mzima, ninaishi kwenye lodges na hotel za bei nafuu....hotel ya kwanza ilikuwa kahama, ni ya mtu mfupi...ni daktari wa wilaya ya kahama pale, ana famasi yake fulani kubwa na ana loji inaitwa mamba safari. ni mfupi, yuko very serious hacheni ovyo na anaonekana mkalii hasa akiona pembeni kuwa warefu kama mimi.

wa pili alikuwa shinyanga, mfupi na ni mmiliki wa lodge niliyokaa. the same....mwingine kahama alikuwa pale rocky point nilikaa siku tano, mfupi, mkaliii, looks like he's not friendly.

nimeenda bukoba, the same mfupi ndo nilikuja jua ni mmiliki wa lodge. akitokea tu, naona wafanyakazi hata wale wanawake waliokuwa wanajilegeza naona mazingira yamebadilika hadi aondoke. nikaja morogoro the same, iringa the same.

siku moja hapa mwanza nikiwa nimekaa kama wiki tatu kwenye lodge ya mtu mfupi, nikaamua nijaribu kumwongelesha pengine nimzoee, nikamwendea na kupiga naye story kidogo, mwanzoni alikuwa haonyeshi kukaribisha story mimi nikaamua kujifanya namfagilia, nikamsifia jinsi alivyojenga lodge vizuri, nikamwambia una hela sana wewe,...unatakiwa unipe motisha walau ya siku hata tatu manake nimekaa wiki tatu zote lodge yako....mimi ni mteja mzuri....alikubali akanipa tatu nikae bure, nilivyomwona, si kwasababu nilikuwa mteja mzuri, bali ni kwasababu nilimpa masifa, nikajifanya yeye ni mrefu kwangu hata kama mimi ni tall wa ajabu na nimeshiba, akaona kumbe mtu mrefu hajanidharau?..nikagundua kuwa kweli wana inferiority fulani kwa watu warefu ila mtu mrefu ukienda kwake kwa kumheshimu bila kumshusha kwa sababu ya ufupi wake, hata biashara unaweza kufanya naye, lakini ukimdharau au akaona unamfanyia kitu fulani kwa kuonyesha yeye ni mfupi...basi hata dili ya pesa anaweza asishirikiane nawe, jinsi walivyo na kiburi...na ukitaka uone ni mbaya, akipita na mwanamke wake jaribu kumwangalia sana yule mwanamke kuliko yeye au msalimie yule mwanamke...lazima kitanuka tu kwasababu anaona kama mtu mrefu anataka kunyang'anya mwanamke wake...ilishawai kunikuta dada mmoja nilisoma naye nikamsalimia kwa kuchangamke bila kujua amekaa na mtu wake mfupi....kesho yake alinipigia simu akasema kimenuka walipofika home hadi wamepigana ngumi na jamaa bado haamini kama mimi si mwizi....JAMANI WATU WAFUPI WA KUISHI NAO KWA MAKINI NA KWA KUWASAIDIA TU...

Idadi ya watu wafupi Tanzania nadhani ni angalau 3/4 ya population nzima ya Tanzania. Kwa hiyo wana probable chance ya angalau 0.75 (>= 0.75) ya kupata utajiri. Mi nadhani hiyo ndiyo sababu
 
Success haina age..
swali hi hili
is he short and successful?

Owk nadhani nilishahama kwenye swali may b. . tutangazie hapa hotel ikiwa tayari halafu ntafanya na mimi ka research kangu wamiliki wa lodge. . au watu successful na vimo vyao. . lol
 
Owk nadhani nilishahama kwenye swali may b. . tutangazie hapa hotel ikiwa tayari halafu ntafanya na mimi ka research kangu wamiliki wa lodge. . au watu successful na vimo vyao. . lol

mi nataka fanya research ya wadada wanaopata mzuka na gear za magari lol
 
siri ya mafanikio siyo saizi ila nia ndani ya moyo wako kila siku......................wafupi labda wanaona hudharauliwa kwa hiyo hujikuta wakijituma zaidi ili kutafuta kuheshimiwa...........
 
The Boss mimi kwetu ndo mfupi kuliko wote mimi ni futi 6.3 , najihisi ntamiliki lodge au guest house siku zijazo as muandishi wa uzi alivyoonesha

dats y nakupenda my huz, full mnazi. btw hw r u today!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom