Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

Hasira imetawala maada hii..............ila nayo ni finding pia if you carefully go between lines

Chaguo la wimbo; Single boy by Ali Kiba feat Jay Dee



Be ware of single-matured women
 
Sijui nianzie wapi..... eeee ila nionavyo mimi ni hiviiiiiiiiii.... msiniparule tafadhali.

Ni kweli wanawake wanapata shida kuishi bila wanaume. Kwanza ni kwa sababu hawakuumbwa waishi peke yao, wasoma biblia wanalielewa hilo. Mungu aliumba binadamu mume na mke waishi pamoja kwa raha, furaha na upendo wakitegemeana; yaani kila mmoja akiwa ni sehemu ya mwingine. Shetani aliingilia kati na kuharibu mpango mzima na kuondoa furaha ya binadamu. Hii ikapelekea kutopendana, kutesana, kutochukuliana na kutojali thamani ya mwingine.

Pamoja na kwamba mwanamke anaweza kuona anafurahi kuishi peke yake na anapata kila atakalo akiwa mwenyewe, hii ni kujifariji tu kwa nje, kwa utu wa ndani bado anakosa furaha halisi kama mwanamke.
 
mh!kuishi single inaweza kua inamsumbua vile alishakua na mazoea yakua na relationship.ila sio ndo mtu kukosa furaha.watu tumeishi single tangu kitambo na tuko happy
 
Mwanaume hawezi kuchanganyikiwa kuwa single kwa sababu ni maamuzi, ameamua mwenyewe.

Ila kwa mwanamke katika hali ya kawaida ni lazima asubiri wa kumtamkia kuwa anataka kuishi nae milele (kuoa) sasa kama hatokei na yeye anataka iwe hivyo lazima achanganyikiwe. Hiyo ni dunia nzima hakuna mwanamke anaye propose ,labda kutakana tu kwa kawaida kwa ku past time.

Thubutu! sema kwa sababu umetuma application halafu imegonga mwamba....maana na sisi wanawake tunajivunia uanamke wetu bwana
 
Kutojiamini kunaendana na kutendwa kulikopitiliza. Kuna vidume anamvuruga mwanamke hadi ile kitu haitamaniki kabisa halafu huyooooooooooo anachapa zake lapa. Sasa mdada ikishamtokea hvi mara 3 au zaidi unadhani atatamani tena mwanaume hapo. Na hayo machozi unayoyaona akiyatoa ni machungu tu ya hofu aliyonayo juu ya wanaume.


Huyo hana lolote analilia bahati yake, she feels left out!
 
Mkuu kasheshe ni pale sasa anapokuwa ndo Boss hapo ofisini............haki ya Mungu vidume mtajuta kwa nini hakuolewa huyu!

Sasa tatizo mnakuwa mnalijua kwanini hamumuoi mwenzenu kutuliza dhoruba...
 
jamani kuna kaukweli hapo kwa baadhi ya wasichana kuwa single kwa kipindi kirefu/kifupi ni tatizo kwao, hata mi nina rafiki zangu wawili mmoja ni the same age na huyo mtajwa mwingine ana 29 wana stress sana za kuwa unmarried..huyo wa 27 yani yy ndio stress live na ameshaniambia mara kadhaa hilo tatizo lake lakn yy amenipa sabb za muhimu za kuwa hivyo kwan (according to yeye) amejitunza kwa muda mrefu bila kujihusisha na ngono then hatokei serious life partner ukijumlisha na matatizo mengine ya dunia ndio anachanganyikiwa kabisa.. huyo wa 29 yeye jamaa yake waliedumu kwenye relation kwa muda mrefu aliingia mitini akabaki mpweke kwa kipindi fulani hivi basi stress za kuachana na jamaa plus kuwa lonely zikawa zinamtafuna hadi akanambia akijitokeza any man with real love yeye atakubali waoane lakin nilimshauri asikurupuke asije kujuta...
 
that doesn't matter what matters is how far i can go-forever if necesary!
Purple - Daima ukiona mtu anashindwa kujibu a simple question straight jua hapo there is a questionable something. Wewe unaonesha hujawahi kukaa mda mrefu..
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe ndo umenishangaza, wenginge tukiwa kwenye mahusiano maisha yanakuwa hayana maana kabisa, kila siku stress, mara mtu kanuna, mara umemfumania, mara kakudanganya, yaani full mauza uza

single life ni tamu sana watu hawajui tu, hasa kwa sie tunaopenda kujiachia ni full raha
 
Kuwa decent ni muhimu kwa kila mtu na huyo dada anaweza akawa na matatizo mengine na sivyo unavyodhan
 
Mkubwa, Ni PM number yake ya simu nimmpe ushauri. Ninauakika utamsaidia sana..

Heshima kwenu brothers and sisters,

Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister ananishangaza sana as kuishi bila relation kunamchanganya sana while she is just 27, yaani kuwa lonely kunamnyima raha kiasi hata sometime unakuta analia on her table ukimuuliza hana majibu ya kutosha, hivi hii inakuaje as she has everything tunazo wish kuwa nazo, as good first job with a nice salary to her, nice car, and so on.

But kuwait for a right person kunamchanganya sana na hasa her friends wanavyoolewa daily, nimeisema hii has imenigusa sana j mos tulikuwa kwenye harus ya friend ghafla akaanza kutoa machoz na kutaka kuondoka bila sabab za msingi hadi mama mmoja akamtoa nje kumliwaza, hii inakuaje wadada mnisaidie, mbona guys wengi tu naowajua hawapo kwenye relations but wana furaha and they have fun a lot but ladies inakuaje?
 
Wanawake wengi wa kiafrica wanapokuwa kwenye r/ship ni kama wako single ..na hasa
kwenye ndoa.
 
In relationship, better lower ur expectation...otherwise u'l end up disappointed!Let them b positive na wapunguze vigezo...mbona wa ukweli tupo wengi tu?Kama anaweza 'kula ugali na kulumangia na kachumbali' then mwambie ani-PM....
 
this issue is purely true binafsi nimelicheck sana, The problem is women,most of them dont distinguish betwwen life and life, They think that LIFE IS LOVE AND LOVE IS LIFE while for a man, LOVE IS LOVE AND LIFE IS LIFE:mvutaji:
 
Kila nikikuangalia naona Mdada aliyejeruhiwa kihisia kwenye Mapenzi,maana quotes zako nyingi kwenye mada hizi uko very negative na mahusiano kati ya me na ke?...........kulikoni?



na ngono unaweza kuipata anytime tena na faida juu
 
bora ungezaliwa men ! Ila wanawake wanaokuwa single adi katika utu uzma wao wanaroho mbaya,ki buri,jeuri ,dharau,wabish, majivuno na hasira .

hahahah usijali mpendwa wangu, na bahati nzuri saaana hivyo vitu hujitokeza kwa nafasi yake kwa kila kiumbe kinachoitwa binadamu! Sema tu kwamba binadamu huwa twatazama vibanzi machoni pa wenzetu......
 
Back
Top Bottom