Why KIKWETE huwa haudhulii kwenye mabaraza ya IDDY na MAULIDI ya waislam

MPG

JF-Expert Member
May 12, 2011
483
53
Ndugu zangu wana JF ebu nisaidiene mara zote rais kikwete huwa anahudhuria kwenye kusimikwa kwa maskofu kuanziz mwezi wa tatu mpaka leo amehudhuria mara 5,ila sijawahi kumuona huku kwetu kwa waislamu kwani mabaraza yote ya IDDY na maulidi huwa haji zaidi ya kuwatuma wasaidizi hata kwenye kuapishwa kwa mashkeih wa mkoa huwa simuoni,ila nashangaa kwa yeye kuwa hodari kututumia sisi waislam kuksafisha kwa kuweka makongamano,mi naona si waislam tunatumika
 
Kichwa cha habari mkuu kinanipa utata haswa kwenye neno haudhulii sijaelewa maana yake haswa kwa kiswahili au ulitaka kumaanisha haudhurii?

Uko makini kuhesabu mahudhurio ya rais kwenye kusimikwa maaskofu ila hujataja ni mara ngapi amehudhuria maulidi, arobaini za viongozi wa kiislam, mazishi ya viongozi kadhaa wa kiislamu n.k. Pia hebu waulize masheikh kama huwa wanamwalika? na kama hajaalikwa siyo rahisi kuja.

Tatizo la wakristo tunajikomba sana kwa rais mpaka anafikia hatua ya kuja kututukana madhabahuni na kama tukiendelea kumwalika kuna siku atamvua padre kanzu au joho ili kutimiza azma ya Mary Chatanda.
 
Acha kuleta therads za uchochezi mkuu...JK amehudhuria IDD na Maulidi sana tu...ila kwa kuwa nia yako ni kupotosha uma naomba nisikulaumu
 
Hivi haya mambo ya kidini mtaacha lini? Mmekalia udini 2 tazameni mcje kukalia gogo!
 
Ndugu zangu wana JF ebu nisaidiene mara zote rais kikwete huwa anahudhuria kwenye kusimikwa kwa maskofu kuanziz mwezi wa tatu mpaka leo amehudhuria mara 5,ila sijawahi kumuona huku kwetu kwa waislamu kwani mabaraza yote ya IDDY na maulidi huwa haji zaidi ya kuwatuma wasaidizi hata kwenye kuapishwa kwa mashkeih wa mkoa huwa simuoni,ila nashangaa kwa yeye kuwa hodari kututumia sisi waislam kuksafisha kwa kuweka makongamano,mi naona si waislam tunatumika

nenda kapige story na dada yako
 
jakaya iddi.jpg jakaya idd.jpg jakaya kwenye idd.jpg
Naamini picha hizi zitasaidia
 
Ndugu zangu wana JF ebu nisaidiene mara zote rais kikwete huwa anahudhuria kwenye kusimikwa kwa maskofu kuanziz mwezi wa tatu mpaka leo amehudhuria mara 5,ila sijawahi kumuona huku kwetu kwa waislamu kwani mabaraza yote ya IDDY na maulidi huwa haji zaidi ya kuwatuma wasaidizi hata kwenye kuapishwa kwa mashkeih wa mkoa huwa simuoni,ila nashangaa kwa yeye kuwa hodari kututumia sisi waislam kuksafisha kwa kuweka makongamano,mi naona si waislam tunatumika

anaogopa kupigwa vibao kama mzee Mwinyi
 
unatuuliza siye ili iweje mkuu?sorry but i think hoja zako zimekaa ki mjengwa mjengwa.Labda jaribu kupeleka huko mkuu!
 
Back
Top Bottom