WHY JK must now crack the whip to protect himself.....

katika khali hi ya kuambukizana tb na viongozi ndiyo wako mstari wa mbele ujue hatuna macho na hatujui tuendako.............

attachment.php
 
The key moment: Bunge liligunduwa kuwa RICHMOND ni kampuni feki inayotakiwa kulipwa na serikali ya Tanzania...Kampuni ambayo ina uhusiano na either JK or EL(EL alijiuzulu)

Kabla hayajawa magumu,EL akamvutia waya JK,

JK akamwambia haijalishi,shughuli iendelee,(kwa maana ya kutoa a "go ahead")wakati huo JK akiwa safarini.

Na sasa aliyejiuzulu kasema ukweli,lakini shida moja tunafikiria kwa tofauti na issue hii imekuwa ya kichama zaidi.

Na huku maamuzi yalikuwa ya kiserikali!

kwa maelezo haya yamaanisha wote wawajibike au wawajibishwe............
 
MWANGWI WA TSUNAMI YA LOWASSA KUPASUA JIPU KWA MAFISADI ORIJINO KULE DODOMA WANANCHI TUNASEMA TUSISIKIE KAPATWA NA HOMA ZA AJABU AJABU, KWIKWI WALA KUDAIWA KUUMWA NA MMBU HUKU TUKIENDELEA KUTAFAKARI UKWELI USI NA MASWALI ULIKOLALA

Wa-Tanzania wenzangu, ni ukweli gani zaidi tunaotegemea kuupata zaidi ya huu juu ya salata la ukwapwaji mkubwa wa kodi zetu kimazingaombe kila kona ya taifa letu?

Wenzangu kama wengine pengine hamkumuamini Jemadari wetu yaani Dr wa Ukweli (Mhe Dr Slaa) juu ya nani nayetuibia, na pia kushinwa kuunganisha nyuzi juu ya kuli ya mwisho ya Rostam Aziz ile ya 'Siasa Uchwara' na hata hichi kimbunga kikali cha Tsunami kilichokipiga Mafisadi Orijino kule Dodoma toka mdomoni mwake mwenyewe Lowassa na kushindikana kubishiwa chochote na yeyote; wananchi bado tunasubiri ujumbe mwingine toka angani au ndio tusemeje??

Kwa kiwango hiki cha ukweli na ukweli mtupu uliomwagwa kwenye mkutano wa CCM Dodoma kushindikana kukimbiliwa kukanushwa na wahusika wa ufisadi wa Richmond / Dowans, wananchi sasa tunasema TUSISIKIE HATA KIDOGO KWAMBA LOWASSA KAUMWA HATA NA MMBU maana mambo yote sasa hadharani sawasawa na jinsi CHADEMA kilivyowahi kutueleza sote kama taifa na hadi ikulu ikataka kupasuka. Leo hii tumebahatika kupata ukweli wote right from the horse-mouth!!!

Nasema Wa-Tanzania tusisikie hata tone kwa Lowassa kapatwa hata na homa isioelezeka undani wake HUKU WANACHADEMA tukiendelea kutafakari kiundani zaidi, kuja kuwashauri viongozi wetu wasikivu jambo gani lifwate, na huo ndio ukweli wa mambo. Ukweli juu ya ufisadi wa ikulu imekuja na mtikisiko mkubwa ambao mwangwi wake hautozimika hivi karibuni.

Wanaharakati ukimya wetu juu ya hili
ni unafiki na usaliti wa UBINADAMU, HAKI NA UTU WA MTANZANIA unaoonekana wazi kudhalilishwa kiasi hiki na hawa manyang'au ndani ya CCM.

Ngojeni kidogo tutarudi jukwaani tukikamilika zaidi juu ya sakata hili lenye uvunda wa kishetani. Uweza Tunao juu ya haya yote ilmradi kila mmoja wetu ajue haki yake na kutetea ubinadamu, haki na utu kwa kuwa ndio tunu ya kweli ya taifa letu kutuelekeza kwenye amani isiyolazimishwa.

Yote juu ya yote, hata na wewe Lowassa bado haujanikuna akilini kwa kuficha ugonjwa wote huu kwa kipindi hicho chote hadi sasa ambapo 'umaiti wa kisiasa' ulipoonekana kukukodolea macho ndipo sasa unaanza kupiga mayowe na kuamua kupasua jipu 'kabla haujakata kauli'.

waache sasa wamalizane wenyewe...............................dhuluma ni laana na mwisho huwarudi wadhulumaji wenyewe kwani huishia kudhulumiana wao wenyewe kwa wenyewe.............
 
Siku zote kiongozi akigeuka tu kuwa mla rushwa katika chombo chochote anachokiongoza, uzoefu unatubainishia wazi bila hiya, nguvu zake hutoweka na kubaki tu kama mdoli au picha tu ya mnyama simba ukutani.

Hakika rushwa si tu ni unyama kwa yule anayekwpuliwa kodi yake kambavyo unavyoonekana kwetu hivi leo bali ukweli ni kwamba unyama wa rushwa kwa mtendaji wake ambaye hutokea kuwa ni kiongozi wa aina fulani hivi, hadi hapo ijulikane kwamba kwao wao Rushwa ni zaidi ya UKIMWI kwa kuwamaliza kabisa nguvu na uhalali wa kiuongozi kabisa.


 
Siku zote kiongozi akigeuka tu kuwa mla rushwa katika chombo chochote anachokiongoza, uzoefu unatubainishia wazi bila hiya, nguvu zake hutoweka na kubaki tu kama mdoli au picha tu ya mnyama simba ukutani.

Hakika rushwa si tu ni unyama kwa yule anayekwpuliwa kodi yake kambavyo unavyoonekana kwetu hivi leo bali ukweli ni kwamba unyama wa rushwa kwa mtendaji wake ambaye hutokea kuwa ni kiongozi wa aina fulani hivi, hadi hapo ijulikane kwamba kwao wao Rushwa ni zaidi ya UKIMWI kwa kuwamaliza kabisa nguvu na uhalali wa kiuongozi kabisa.

ni kweli kabisa uhalali wa kuongoza wategemea hadhi ya kujiheshimu kama kiongozi hajiheshimu jamii nayo itamdharau tu......
 
Chombo cha juu kabisa cha maamuzi ki-chama pindi kinaposhindwa kutoa maamuzi juu ya KERO LA TAIFA LA UFISADI, je kitu gani kinatakiwa kifuate kwa wahusika:spy:?
 
Chombo cha juu kabisa cha maamuzi ki-chama pindi kinaposhindwa kutoa maamuzi juu ya KERO LA TAIFA LA UFISADI, je kitu gani kinatakiwa kifuate kwa wahusika:spy:?

tatizo kwa jk ni kuwa gamba ni yeye na anayefuata ndiye Lowassa.......................sasa Lowassa anashangaa kushupaliwa yeye wakati aliyekuwa anakula naye amemruka...................halafu pili yawaje Zneji hakuna wa kujivua gamba kama siyo ubaguzi usio na kifani?
 
Back
Top Bottom