Why is George W. Bush rated the Worst President Ever???

Wewe hujui dunia inavyokwenda acha Bush is a great man ever in this world, ungejua Gadaffi alikuwa anafadhili vikundi vya kigaidi ndani ya miskiti Tz usingethubutu kusema, na kelekele zake za Africa moja ilikuwa atawale yeye kwanza na aimplement sharia!!! wewe hujui, njama ya Saddam, yakuteka watoto wa Bush hujui wewe, hujui WTC imeleta madhara makubwaq, hujui mabomu ya wakina Gailani na wewe naona mdogo wake gailan!!!

(alikuwa anafadhili vikundi vya kigaidi ndani ya miskiti Tz) Tanzania haijawahi kukabiliwa na tatizo la ugaidi tangu tupate uhuru. Labda leta ushahidi ni msikiti gani huo wenye magaidi hapa Tz? je walikamatwa na kushtakiwa mahakami ipi? walihukumiwa adhabu gani?
(kelekele zake za Africa moja ilikuwa atawale yeye kwanza na aimplement sharia!!!) Gaddafi hakuwa muumini wa Sharia, na hata Libya hapakuwa na Sharia, iweje alilete nchi zingine?
(njama ya Saddam, yakuteka watoto wa Bush hujui wewe) kama Saddamu alitaka kuteka watoto wa Bush je suluhisho ndio kuua raia wa Iraq wasiokuwa na hatia? Je suluhu yake ni kuiba mafuta ya Iraq? Je leo Obam akisema rais wetu anataka kuteka watoto wake na hivyo kuanza kutushambulia inaingia akilini?
Hakuna mtanzania anayemuunga mkono Gailani ila kinachofanywa na Marekani katika hili kinatia mashaka. Hitler aliwauwa waisrael 6,000,000 wasio na hatia kwa sababu za kudhani tu kama hizo hapo juu zisizo na msingi. Na ndio sababu kama hizo hizo marekani inazozitumia.
 
Wajua ndiyo taabu ya kusikiliza upande mmoja.. Lazima utakuwa bias,na influenced na propaganda za upande huo..
 
Back
Top Bottom