trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
- Thread starter
- #21
Bush amekuwa unpopular kwa sababu kubwa mbili.
1. Vita: Afghanstan na Iraq. Na kibaya zaidi juu ya hili ni kwamba vita ya Iraq haikuwa na ulazima wowote wa kupiganwa, jamaa alifanya kulazimisha tu kwa kutumia sababu za kubumba. Congress na Sanate walithibitisha hilo.
2.Uchumi: hizo vita mbili zimeigharimu sana nchi kiasi kwamba Hali ya uchumi duniani ilipoparaganyika US ikawa iko kwenye ukingo wa kutumbukia shimoni.
Nimekuelewa vizuri sana. Na nakubaliana na wewe.