Why is Africa so poor despite its gold, diamond and other natural resources?

Binafsi hata maneno ya kusema mkuhusiana na suala hili yalishaisha,kweli jamani!!! umasikini unazidi kututafuna waafrika specifically wa Tz, nimebahatika kutembelea maeneo mengi ya vijijini for God's sake! kuna maeneo ukifika utadhani sio tz,yaani hali ya maisha ni ngumu na duni kupita kawaida,cwezi hata kueleza.Eee Mungu tusaidie.

Ni ukweli kabisa kuwa ubinafsi na ulafi wa viongozi wetu umesababisha hali hii. cjui watabadilika lini,jamani tumeogea mpaka basi aaaaa! na siku ya mwisho watajibu mbele ya haki.cjui ni lini mabadiliko yatatokea.mmmmmh

Viongozi wetu wanatokana na jamii hii hii tuliyomo kwa hiyo wanawakilisha ubinafsi na ulafi wa wanaowaongoza. Ikifika wakati wa kuchagua viongozi wananchi walafi wanakimbilia hongo za Tshirt, kanga na pilau na kuwakabidhi wawakilishi wao fursa ya kula zaidi.
 
The answer is very simpo,african leaders are staglling to get in power for their pesonal interest
 
Back
Top Bottom