Why inatokea sana.?

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Hivi ni kwa nini inatokea sana watu (both men & women) wanasex na mashemeji zao (rafiki za wapenzi wao). Alafu mara nyingi huwa hamna hata nguvu kubwa inayohitajika kufanikisha hilo. Just within singo day unakuta mtu anapata kitu.
 
adabu
utu
heshima
uwoga wa mungu
maadili
ukweli wa dhat na upendo wa dhat VIMETOWEKA.
 
fimbo ya mbali haiui nyoka.
Mashemeji, jirani hayo ni majina tu and they have no legitimete power kumfanya pepo ngono aone aibu
 
People normally want a guarantee of the following;
- that the relation that is going to be established will never get broken...
- secrecy....
- they need a shadow of which, when anyone receive any gift or a consideration from the other one will not deliver abnormal signs to others..
- Kikulacho kiko nguoni mwako....
- Kutohofu Mungu...
- Kushuhudia wengine wakifanya hivyo, yaani malezi...
- Kufananishana....
- Familia au ukoo kusuluhisha migogoro ya aina hiyo kichinichini, hivyo wengi wanajua hata ikijitokeza itakuwa siri ya nyumbani...!
- nk.
 
Back
Top Bottom