Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?
Ulishawahi kumuona?
Hakuna mtu aliyepata kumwona- 1 Timotheo 6:16.
Kwa nini usionyeshe jinsi "reason" ya Pundit ilivyo ndogo kwa kuzipangua hoja zake na kuzipanga za kwako badala tu ya kuishia kusema "Reason yako ni ndogo sana pundit" Huonyeshi udogo wa "reason" ya Pundit kwa kusema hivyo tu. Sana sana unaonyesha wewe jinsi usivyo na uwezo wa kuzipangua hoja zake.
Msiige Tabia Za Mataifa- Kutoka 34:11-17.
Kwa nini usionyeshe jinsi "reason" ya Pundit ilivyo ndogo kwa kuzipangua hoja zake na kuzipanga za kwako badala tu ya kuishia kusema "Reason yako ni ndogo sana pundit" Huonyeshi udogo wa "reason" ya Pundit kwa kusema hivyo tu. Sana sana unaonyesha wewe jinsi usivyo na uwezo wa kuzipangua hoja zake.
Niliweka hii reply: Nayo inaoneka tatizo ni lilelile, collective knowledge.
Kama umemsoma Aristote katika Metaphysics (c 384-322B.C) ,
Aristote developed the idea of a creator of the cosmos, often referred to as the "Prime Mover"
Are you telling me that Aristote katika metaphysics was wrong and you are correct?
Unaona ninapo weka vitu jamaa yenu anakimbia na kuanza blah blah blah? Hii hoja hakuigusa wala sogelea.
Nilipo mtumia plato ku crash mada yake, alishindwa kujuwa ni nini nasema nakufikria kinyume, hapo nikajuwa kuwa PUNDIT si lolote wala chochote.
Sasa siwezi kutumia muda kufundisha mtu ambaye anadai yeye ni mjuwaji.
Mbona nilishakuambia kwamba Russell kairarua point ya Prime Mover? Na hujamsoma na kuuliza kipya.
Mbona nimekueleza vizuri jinsi ulivyojishoot yourself in the foot kwa kumtumia Plato ambaye haamini katika mungu wako mweza yote? We mbona unabisha kinazi?
Haya mjuwaji, lete burdaniTatizo lake nikwamba ni lugha ndio inayomsumbua.
Anaweza kukopi hata vitu ambavyo vinamshoot mwenyewe.
TATIZO LA KUKOPI BILA KUFANYIA TATHIMINI.
Hizo hapo juu nimeziweka makusudi.
Zitamuweka mtu kwenye kitanzi
Mbona nilishakuambia kwamba Russell kairarua point ya Prime Mover? Na hujamsoma na kuuliza kipya.
Mbona nimekueleza vizuri jinsi ulivyojishoot yourself in the foot kwa kumtumia Plato ambaye haamini katika mungu wako mweza yote? We mbona unabisha kinazi?
Plato inaonekana anakuumiza kichwa wewe mwenyewe, umeshindwa kujuwa nini nilikuwa nasema na swali langu linahusu nini.
Kaazi kweli kweli,
Plato inaonekana hujamuelewa wewe, umeshindwa kujua kwamba Plato haamini kwamba mungu anaweza ku create something out of nothing.
Mungu wa kikristo anaweza yote, obviously mungu anayemuamini Plato si wa kikristo na mungu wa kikristo uliyemleta Plato hamuamini.Sasa wewe unamleta Plato kama jiwe lako wakati jiwe lenyewe limambonda mungu wako?
Speaking of jiwe, mungu wa kikristo anaweza kutengeneza jiwe lililo zito kiasi kwamba ashindwe kulibeba?
Jibu maswali ninayouliza, sio unarukaruka tu.
Plato anaamini Mungu? Hivi kuna Mungu?
Bluray hii mada ni pasua kichwa. Ninachofahamu mimi ni kwamba neno "Mungu" kila mtu analitafsiri kivyake kulingana na uelewa unaotokana na mazingira yake. Ukristo na Uislam zote ni dini ambazo hazina umri wa zaidi ya miaka 2000,tujiulize kabla ya hapo na kwa kuwa binadamu wamekuwepo miaka mingi tu je baada ya kufariki nini kilikuwa kinawatokea (maana ndo zinafundisha hell na heaven),nauliza hivi kwa sababu Yesu alisema "mimi ndio njia na uzima,mtu haendi kwa Baba ila kwa njia ya mimi",sawa tumkubalie,lakini je waliotangulia mbele ya haki kabla Bwana Yesu hajaanza kufundisha walikwenda wapi? Bluray,msingi wa dini ni imani na siku zote imani huwa inaishia pale mtu anapoanza kufikiri,faith na thinking ni maji na mafuta! Russel utaona katika conclusion yake anataka binadamu wafikiri badala ya kuamini,sasa kama ni hivyo Russel atueleze kufikiri na morals (mpende jirani yako etc) vinaendana? Binafsi naona dini zina nafasi yake katika jamii na kufikiri kuna nafasi pia,kikubwa ni kubalance badala ya kufuata kila kitu eti kwa sababu Padre au Sheikh kasema maana tukifanya hivyo tutaishia kujilipua mabomu eti tunatetea Uislam au kujishindilia misumari eti tunakumbuka mateso ya Yesu na on the other side tuki fikiri sana tutaona hata kubaka ni sawa tu kwa kuwa mwili umekuwa na matamanio!
You are weekend homework summarize the arttilcle so that we can discuss on monday
Unaonyesha ufinyu wa kufikiri.
Nikisema "mungu anayemuamini Plato" haina maana kuna mungu.
Watoto wanaamini Santa Claus anakaa north pole, je hiyo ina maana kuna Santa Claus anakaa north pole?
Hata comprehension nayo tabu?
Yaani unakuwa lower than I ever thought you would be.
Do you mean that there is no other word to use, mpaka usema Mungu wa Plato? No other word on earth?
Unaleta hoja ya watoto, Santa, blah blah blah, do you see unavyo onyesha ufinyu wa akili? What you did here is comparing your self na Watoto. Wewe umeleta issue ya Mungu wa Plato, na wewe huyo huyo unaleta issue wa Watoto. Very very very funny.
Hha ahaha ahaha ahhaa a a a a a a, I just don't know truly if you know what you write.
I said in one of my prior reply, that, don't use collective memory, au ndio mental ex nihilo and/or yesh m'eiyan?
Incoherent gibberish,
Kwa hiyo unataka kusema mtu yeyote anayesema "Mungu wa Plato" anaamini katika mungu huyo? What is teh point of saying "Mungu wa Plato" then? Kama mtu anamuamini mungu kwa nini asiseme tu mungu? Kwa kusema "Mungu wa Plato" huoni kwamba huyu mtu ana ji dis-associate na belief kwenye huyu mungu?
Nikisema "rais wenu" huoni kwamba mimi nataka kuji dis-associate na huyu rais?
You are either a very dim bulb, or an extremely irredeemable fanatic usiye na interest na uchunguzi, bali kupinga kwa hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja.
Nimekuuliza miswali lukuki mpaka sasa hujajibu, I suspect huwezi kujibu kwa sababu ubongo wako hauwezi kufikiri that deep.