Why don't we get married to our first lovers?.....

hivi huyo haoleki?

Karibu sana jamvini luv habari ya kupotea?
Huyo anaoleka vizuri sana watu wengi wana dhana potofu ya dharau huenda mpaka kusema huyo si type yangu, dah sijui sio binadamu mpaka useme huyo si wa type yako au kwa vile hana kitu? All in all ndoa ni upendo na utu, na upendo hauna gharama kusema utanunua sijui kwa sh ngapi la hasha huwezi nunua upendo hata siku moja utaishia kununua Penzi na si upendo, upendo ni nafsi ya mtu jinsi inavyo mtuma kumpenda mtu unaweza jilazimisha kumpenda mtu kwa vile yupo hivi au vile au ana kitu flani mwisho ya siku vitu hivyo ulivyo mpendea vikatoweka na upendo ndipo unapo fika kikomo waswahili wanasema upendo wa kinafiki.
 
MIPANGO YA MUNGU ndio inakufanya umdanganye mtoto wa mtu akuvulie chupi umjue dhen umkimbie?

sio wote wamedanganywa, kuna ile unaona kabisa huyu hutaweza kuna baba watoto wangu kwa vijimambo fulani fulani, unaona kabisa huko mbeleni ni mzigo, yaani wewe unawaza a yeye anawaza x...
 
Karibu sana jamvini luv habari ya kupotea?
Huyo anaoleka vizuri sana watu wengi wana dhana potofu ya dharau huenda mpaka kusema huyo si type yangu, dah sijui sio binadamu mpaka useme huyo si wa type yako au kwa vile hana kitu? All in all ndoa ni upendo na utu, na upendo hauna gharama kusema utanunua sijui kwa sh ngapi la hasha huwezi nunua upendo hata siku moja utaishia kununua Penzi na si upendo, upendo ni nafsi ya mtu jinsi inavyo mtuma kumpenda mtu unaweza jilazimisha kumpenda mtu kwa vile yupo hivi au vile au ana kitu flani mwisho ya siku vitu hivyo ulivyo mpendea vikatoweka na upendo ndipo unapo fika kikomo waswahili wanasema upendo wa kinafiki.

thnx luv, c unajua tena purukushani za kutafuta ugali?.....umeongea vizuri mpaka nimeccmkwa, cna la kuongezea hapo umekamilisha.
 
Fidel una mambo wewe....

Mi huwa nasema wazi kabisa naomba nikate kiu akikubali haya akinikataa sawa ndo hivyo tena.
Sasa sijui huyu uliye mtamani kwa kukata kiu kwa siku moja na ndo mara kwanza lazima umuoe?
 
sio wote wamedanganywa, kuna ile unaona kabisa huyu hutaweza kuna baba watoto wangu kwa vijimambo fulani fulani, unaona kabisa huko mbeleni ni mzigo, yaani wewe unawaza a yeye anawaza x...
@GOEFF mie leo msomaji tu labda baaadae ntapata cha kusema

sasa sore ofu topiki

....Nyamayo mamiii I missed you karibu......
 
Opppssssssssssssss imegusa kwenye point ila sichangiii, MyHalf asije akasoma comments zangu nikachezea KICHAPO
 
unajua nini........
nawashangaa sana watu wanaopindisha ukweli.........
ni nani hapa ameolewa/ameoa FIRST LOVE WAKE?.......
nisingependa muwasemee watu...............
kila mtu ajisemee yeye............
hata kama hujaoa/olewa,ni yupi ambaye yupo na FIRST LOVE WAKE HADI SASA?............
msipende kumsingizia mungu jamani............
 
1.wakati fulani firstlover atataka ajue wanaume/wanawake wengine wakoje,akionja huko analowea.
2.Aaaaaah, first lover ni mazoezi tu? mechi kwenye ndoa.Hapo kila mtu anajijua yupo fit kitendea kazi safi, sasa leta ndoa.
3.Confidence,wengine huona aibu kwa ushamba walioonyesha siku ya kwanza ya mechi, hivyo bora aingie kwenye ndoa na mtu mwingine heshima iwepo.
4.UMRI; mara nyingi mlioanza kumegana nae umri mnafananafanana ukweli ni kuwa wanandoa wengi wanapishana umri.
5.Mara nyingi firstlover TARGET pale ni MECHI TU,kila mtu kichwani mwake akammege mwenzie swala la ndoa halipo.
naona wewe una point mkuu!........
well said
 
Karibu sana jamvini luv habari ya kupotea?
Huyo anaoleka vizuri sana watu wengi wana dhana potofu ya dharau huenda mpaka kusema huyo si type yangu, dah sijui sio binadamu mpaka useme huyo si wa type yako au kwa vile hana kitu? All in all ndoa ni upendo na utu, na upendo hauna gharama kusema utanunua sijui kwa sh ngapi la hasha huwezi nunua upendo hata siku moja utaishia kununua Penzi na si upendo, upendo ni nafsi ya mtu jinsi inavyo mtuma kumpenda mtu unaweza jilazimisha kumpenda mtu kwa vile yupo hivi au vile au ana kitu flani mwisho ya siku vitu hivyo ulivyo mpendea vikatoweka na upendo ndipo unapo fika kikomo waswahili wanasema upendo wa kinafiki.

maneno mazito hayo mkuu!........
ndo maana hapa panaitwa pa GREAT THINKERS........
naona leo umeamka na hilo neno la ''TYPE YANGU''
 
Valuer za jana bana zinanifanya niwe hivyo dah, kwa vile nilikosa gemu la mchangani tu
 
Back
Top Bottom