kwani wanaoandamana misri,tunisia,yemen nijanjaweed na alqaeda?soma kwamakini nilie mqoute ndio ujue maana,kaka hapa kwangu lugha yangu yataifa imelala siumi maneno ktk kiswahil na lugha kama 5 za kimataifa,usidandie treni kwambele,soma kwa makini ndio uchangie mada.Walioandamana Arusha walikuwa al qaeda au janjaweed au magaidi wale?