Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

Status
Not open for further replies.
Unachosema ni kweli kabisa. Waislam wanahitaji mkombozi atakayewaondolea hizo fikra potovu kwamba wanaonewa. Ni bahati mbaya sana Mungu alimchukua Dr. Omari Alli Juma. He was very good. Hakuwa anawaficha hao ndugu zetu. Wakati fulani aliwaambia kwamba waache kujidanganya kuwa wenzao wakristo wanapendelewa. Alitoa mfano kwamba ukienda mtaani uangalie familia ya kikristo na kiislam utaona tofauti kubwa sana. Alisema wakati familia ya kikristo inajishughulisha kutafuta fedha za kusomesha watoto, familia ya kiislam utaona imetulia tu. Halafu mwisho wa siku utegemee nini?

Kwa kifupi, waislam waache malalamiko yao bali waelekeze nguvu zao kutafuta elimu kwa gharama yoyote.

Mkuu tumewahutubia sana suala la kuacha malalamiko na badala yake waende shule na wafanye kazi kwa bidii ndipo watakomboka lakini bado wanatumia muda mwingi kulalama tuuuuuu.

We fikiria wakati mkristo anaamka alfajiri ili awahi kutafuta riziki, wenzetu wanadamkia kwenye vijiwe vya kahawa na kashata na huko ni malalamiko tu wakristo wanatuonea hadi siku inaisha.
Sasa hapo mbaya wako ni mkristo au ni uvivu wako. Jirekebisheni jamani.
 
Mkuu tumewahutubia sana suala la kuacha malalamiko na badala yake waende shule na wafanye kazi kwa bidii ndipo watakomboka lakini bado wanatumia muda mwingi kulalama tuuuuuu.

We fikiria wakati mkristo anaamka alfajiri ili awahi kutafuta riziki, wenzetu wanadamkia kwenye vijiwe vya kahawa na kashata na huko ni malalamiko tu wakristo wanatuonea hadi siku inaisha.
Sasa hapo mbaya wako ni mkristo au ni uvivu wako.
Jirekebisheni jamani.

Another bogus..wewe unawalisha waislamu wangapi nyumbani kwako? wangapi wamekuja kukuomba msaada? kama unazo wapelekee wakristo kule rukwa wanakufa kwa ujinga na shinyanga pia ok
 
Wewe ndiye mwenye IQ ndogo kwa kutojitambua na kutoa majibu ya kitoto kama unayotoa. Ni kweli waislam hawana shule ya kuiibia nchi na kuuza raslimali zake kwa lengo la kumridhisha kwa kutoa sadaka.

Tutaendelea kuwaeleza ukweli hata kama ukweli unauma. Nendeni shule, pelekeni watoto shule sio madrasa na mfanye kazi kwa bidii. Punguzeni kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kashata, kulalama na kupiga majungu mchana kutwa. Vinginevyo mtaendelea kuwa nyuma daima dumu.
 
Ukweli unauma ehhhh.

"Sindano inauma lakini kama ndo inayoponesha tutakuchoma tu hata kinguvu"
 
Another bogus..wewe unawalisha waislamu wangapi nyumbani kwako? wangapi wamekuja kukuomba msaada? kama unazo wapelekee wakristo kule rukwa wanakufa kwa ujinga na shinyanga pia ok

Ukweli unauma ehhhh.

"Sindano inauma lakini kama ndo inayoponesha tutakuchoma tu hata kinguvu"
 
Beneath the rosy assurances from muslim apologist that Islam is about peace and tolerance lies a much darker reality that better explains the violence,deadly protests and deeply rooted indifference.Quite simply,the Quran teaches supremacy,hate and hostility..so its easy to mobilise a hate group than a peaceful demonstration..want some verses to prove?

Mkuu umenifurahisha sana. Si unaona hii hawajaijibu? Tatizo lugha. Tunarudi palepaleee....ELIMU KWA HAWA JAMAA NDIO TATIZO KUBWA.
 
My dearlest members of JF,
Somebody has told me that it is easy to mobilize muslims for a rally within a short period of time than doing the same to their counterpart christians. By the way, is this postulate true? If yes, what could be the reason(s)? I am thinking of one or two reasons but let me learn your views first and will come back latter.

The answer is yes,and the answer is simple Christians do not have a spirit of rebellion.Rebellios behaviour is spiritual.
 
Eti mwajiri bogus..huna lolote umeajiriwa kanisa fulstop..usitafute misifa hapa..IQ yako haionyeshi kama uanweza kumuajiri mtu yeyote pole..

pole sana mzee wa ubwabwa, pilau, kahawa na kashata. Nadhani hiyo ndiyo injili yenu. Mnatumia tumbo kuwaza. Msipotafuta elimu mtaendelea kuburuzwa mpaka mjiny...
 
Mkuu umenifurahisha sana. Si unaona hii hawajaijibu? Tatizo lugha. Tunarudi palepaleee....ELIMU KWA HAWA JAMAA NDIO TATIZO KUBWA.

Wangeandika ile lugha inayosomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndiyo wangeelewa. Hii ya wasomi ni patupu.
 
The answer is yes,and the answer is simple Christians do not have a spirit of rebellion.Rebellios behaviour is spiritual.

Wakristo ni wanyenyekevu na wana upendo. Hawa wengine ni wakorofi, wachokozi na makatili.
 
Wapeleke watoto wako shule, (kama wapo) uone kama watakuja walalamike miaka ya mbele.
Watalalamika kama hakutakuwepo na fair grounds. Mathalani baada ya kuwaona waislamu kuwa ni mbumbumbu tena bila ya kificho, hatimaye nao wameanza kujiuliza ni kwa nini wanabezwa. Jibu lililopatikana nadhani hata wakristo hawakulitarajia. Kwamba kumbe wanaitwa wajinga kwa sababu tu hawakuwakemea wakristo walipokuwa wakiifisadi nchi kwa kupora raslimali zao na kuhujumu uchumi wa nchi.
 
Rostam Azizi, Yusuf Manji.......wote hawa ni mafisadi papa na ni wakristo.
 
Tutaendelea kuwaeleza ukweli hata kama ukweli unauma. Nendeni shule, pelekeni watoto shule sio madrasa na mfanye kazi kwa bidii. Punguzeni kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kashata, kulalama na kupiga majungu mchana kutwa. Vinginevyo mtaendelea kuwa nyuma daima dumu.
Do u mean shule zinazofundisha ufisadi kama wa kwako wa kutanguliza maslahi ya kanisa dhidi ya nchi.
 
Mkuu umenifurahisha sana. Si unaona hii hawajaijibu? Tatizo lugha. Tunarudi palepaleee....ELIMU KWA HAWA JAMAA NDIO TATIZO KUBWA.
Knowing english or quoting english proverbs has never been the reflection of wisdom rather reflects ur failure to untie from your colonial masters, slavely chain. Kwa hiyo hoja kupuuzwa hakumaanishi kuiogopa.
 
pole sana mzee wa ubwabwa, pilau, kahawa na kashata. Nadhani hiyo ndiyo injili yenu. Mnatumia tumbo kuwaza. Msipotafuta elimu mtaendelea kuburuzwa mpaka mjiny...

Wewe utamburuza nani ng'ombe wewe..one muslim (non educated equals) to 10 educated christians, 1 educated muslim equals to 100 educated christians...

We are determined, organized and with no fear endelee kupiga kelele na streotype zako islamic values and muslims population is expanding at an alarming rates globally

Mapdre wako wanakesha usiku kutengeneza fitna lakini ..wanaaibika kila siku

Endelea kuumia..ok
 
Do u mean shule zinazofundisha ufisadi kama wa kwako wa kutanguliza maslahi ya kanisa dhidi ya nchi.

Wewe bado upo tu kwenye mtandao!!! wenzio wapo kijiweni wanapiga stori huku wakisubiri ubwabwa. Hukufuzu madrasa nini??
 
Wewe utamburuza nani ng'ombe wewe..one muslim (non educated equals) to 10 educated christians, 1 educated muslim equals to 100 educated christians...

We are determined, organized and with no fear endelee kupiga kelele na streotype zako islamic values and muslims population is expanding at an alarming rates globally

Mapdre wako wanakesha usiku kutengeneza fitna lakini ..wanaaibika kila siku

Endelea kuumia..ok

Hongereni kwa kuendelea kujaza mambumbumbu duniani. Alarming rate ya nini!! Labda njaa maana kazi yenu ni kuoa kwa sana na kuzalisha sana. Uvivu wa kufanya kazi ndiyo unaowafanya muwaze ngono na chakula wakati wote. Narudia tena, hongera kwa kuzalisha mambumbumbu wengi hapa duniani. Sisi tunazaa wale tunaoweza kuwapatia haki zao za msingi including elimu. Ninyi mnawapatia mitaji ya kuuza juisi za miwa barabarani. Mtafika tu!
 
Kama ni mambmbu unalia nini keep your mouth shut dude..huna akili

Waulize mapdre wako wanavyokosa usingizi kwasababu ya hao mabumbumbu...

Mara ya mwisho nilihudumiwa na john, joyce wanauza embe barabarani wametokea uswekeni (tanganyika) rukwa...

Tutawafundisha kuoga, kuvaa na kuongea kiswahili pumbafu..tulianza na nyerere ..hatutachoka...maana nyie ni wajinga
 
Mlianza na Nyerere mlifanikiwa nini sasa!! Wewe ndiyo zoba kweli. Balkashia zenu zinapunguza hata akili ya kawaida ya kufikiri. Imani zingine ni upunguani tu. Kale ubwabwa upumzike sasa. Naona umebwabwaja kwelikweli. Nisije nikapoteza muda kwa kuwasiliana na mzee wa kibandiko akili tumbo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom