wewe kweli bongolala,kule tunisia kuna mtoto wa bilione no3 wa tunisia ameandamana kuwaunga mkono vijana wasomi wenzie ambao hawana kazi,je nayule ana njaa,tukubali kua wakristu wa tanzania waoga sana wakitishiwa nyau wanajificha uvunguni,kule misria waislam nawakristu wameungana wanadai hakiyao.Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu,afya,hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja.na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai