Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu mleta hoja nafikiri umewasikia mwenyewe hoja zao, wana dhana potofu kuwa wanaonewa na ni watu ambao wamekata tamaa, na siku zote watu waliokata tamaa ni rahisi sana kuasi. Ndugu zetu wana dhana potofu juu ya kanisa na ndiyo maana mafisadi wanawatumia kufika malengo yao ya kuvunja mshikamano ili watawale milele.
 
Unachosema ni kweli kabisa. Waislam wanahitaji mkombozi atakayewaondolea hizo fikra potovu kwamba wanaonewa. Ni bahati mbaya sana Mungu alimchukua Dr. Omari Alli Juma. He was very good. Hakuwa anawaficha hao ndugu zetu. Wakati fulani aliwaambia kwamba waache kujidanganya kuwa wenzao wakristo wanapendelewa. Alitoa mfano kwamba ukienda mtaani uangalie familia ya kikristo na kiislam utaona tofauti kubwa sana. Alisema wakati familia ya kikristo inajishughulisha kutafuta fedha za kusomesha watoto, familia ya kiislam utaona imetulia tu. Halafu mwisho wa siku utegemee nini?

Kwa kifupi, waislam waache malalamiko yao bali waelekeze nguvu zao kutafuta elimu kwa gharama yoyote.
 
Beneath the rosy assurances from muslim apologist that Islam is about peace and tolerance lies a much darker reality that better explains the violence,deadly protests and deeply rooted indifference.Quite simply,the Quran teaches supremacy,hate and hostility..so its easy to mobilise a hate group than a peaceful demonstration..want some verses to prove?
 
sababu kubwa ni mafundisho ya dini,wakristo wanafundishwa zaidi upendo,hawa wenzao mafundisho yao ni visasi zaidi.
 
Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu,afya,hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja.na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai

BONGOLALA you have actually explained in detail what was also in my mind
 
I concur with you ndugu! May you be blessed for such a constructive contribution. In the first place I didn't see the importance of this topic here, for it does not unite us as Tanzanians, but rather separating us according to our religious beliefs!
Kuanzia mwezi wa kumi 2010, JF imepata watu from every corner with either little or zero thinking capacity.

This is not the JF ambayo tulipigania kwa Manumba kuiacha alone. Just an advise Tanzania need more constructive thought than this defecive ideas. We need analyze things which hurts everybody.

For those who said is only Muslim who are poor then they're lunatic, because Poverty is deep across Tanzania. I visited almost every corner of Tanzania and we all share one thing, umasikini. So, instead of focusing on things which we differ, we should focus on what we've in common. Poverty, ufisadi, and many more.

This blind eye is why Middle East is suffering until leo, they only focus on Palestine vs Isreal conflicts, while there people are dying.

Use your head to think Mtanzania and not your butt. Tanzania need muslim and christian to move forward, we need one another. Solidality will start here, we're the so called educated Tanzanian right? Then act like one idiot.
 
Am still working out what are the motives for this thread.........Is it because of is happening in Egypt and Tunisia
 
BONGOLALA you have actually explained in detail what was also in my mind
Finest na wewe kweli una-support kauli ya Bongolala; hata kama una uhuru wa kutoa mawazo yako ni vizuri kukipima kile unachotaka kukisema kwanza kabla ya kukisema... Waislam wenzetu pia wana miradi mingi sana hapa Tanzania, sio Wakristo tu; tuna shule za Kiislam, siku hizi hadi Chuo Kikuuu tunacho. Waislam wengi wana miradi mikubwa sana tu kama akina Mheshimiwa Karamagi akina Iddi SImba na wengine wengi. Maduka mengi makubwa yanamilikiwa pia na waislam....SIku njema
 
This is very strange, easy to moblise them for the rally! But difficult to moblise them to build schools, hospitals and even to start their own Mahakama ya kadhi. I'm leaft speachless and mouth open:sad:
 
Finest na wewe kweli una-support kauli ya Bongolala; hata kama una uhuru wa kutoa mawazo yako ni vizuri kukipima kile unachotaka kukisema kwanza kabla ya kukisema... Waislam wenzetu pia wana miradi mingi sana hapa Tanzania, sio Wakristo tu; tuna shule za Kiislam, siku hizi hadi Chuo Kikuuu tunacho. Waislam wengi wana miradi mikubwa sana tu kama akina Mheshimiwa Karamagi akina Iddi SImba na wengine wengi. Maduka mengi makubwa yanamilikiwa pia na waislam....SIku njema
Miradi au utajiri haupimwi kwa watu wachache, kwamba kwa vile Mengi ana makampuni mengi na ni mkristo basi wakristo wote ni matajiri angalia majority wana hali gani,

back to the topic, nafikiri sababu kubwa ya waislam kuwa hivyo inatokana na misingi ya mafundisho wanayopokea. Kama tunavyosikia watu walilazimishwa kuslimu kwa mijeredi hiyo ni dalili ya utumwa wa kifikra kwa hiyo tegemea maamuzi mengi kufanywa kiimla na wachache bila kushirikisha au kutumia njia ya majadiliano.

Sehemu isiyo na majadiliano ni rahisi kikundi cha wachache kutawala mawazo ya wengi na kuwa mobilize.
 
mod need to delete these kind of threads...nikugombanishana na ndugu zetu na kuvuruga Jf..mod kuwa serious plz
 
mod u hv to delete these kind of threads...nikugombanishana na ndugu zetu na kuvuruga Jf..mod kuwa serious plz
 
Nafikiri unazungumzia haya kutokana na yale yanayoendelea huko Kaskazini. Wenzetu wa huko pamoja na ulaya askari wao wana nidhamu na wala hawana njaa waliyonayo wa kwetu, ukichanganya na frustration za maisha. Askari wetu wasingekuwa wanapiga vile mambo yangekuwa tofauti. Pia nafikiri necha nayo inachangia. Waarabu ni watu wa kujitoa. Wanafundishwa kuwa ukifa kwa kutetea haki basi pepo ni yako
 
Musilims are the puppet of the govt in power, nowadays they have taken the position of defending the govt which i think it is ridiculous, we are facing the shortage of power and they are among the victims, most of us are living below one dollar, they are among the victims, i just don't know why they are being disillusioned.
 
kama una dili lako subiri azana/adhana, na tunasali maranyingi kwa siku. ukiangalia yote hayo. kutufikishia ujumbe ni haraka mno. sio kama wengine ni mara moja kwa wiki. tuna umoja na kufanya maamuzi ya kimoja hamna kurudi nyuma ni kinyume na taratibu.
 
Hivi kwanini wakristo waandamane?

Wana akili sana hawahitaji kuandamana ok

Haya mambo ya kuandamana ni wajinga ok..wasio na kazi ok

Wakristo wana kazi nzuri bana nini kuandamana kama waislam, msiandame ndugu hata kama wakitaka muandamane ok...
 
Mkuu mleta hoja nafikiri umewasikia mwenyewe hoja zao, wana dhana potofu kuwa wanaonewa na ni watu ambao wamekata tamaa, na siku zote watu waliokata tamaa ni rahisi sana kuasi. Ndugu zetu wana dhana potofu juu ya kanisa na ndiyo maana mafisadi wanawatumia kufika malengo yao ya kuvunja mshikamano ili watawale milele.

Nonsense! Mafisadi wenye vijisenti wote ni waislamu? Hebu fanyeni la maana badala ya kuzungumza upupu.
 
Tuache kuamsha hisia za udini katika ukweli, tuwape Waislam credits katika hili, uwezo wao wa kufanya organisation na mobilisation ni mkubwa, zaidi wana uwezo wa kuthubutu...
 
Baba yangu mwislam, Mama yangu mkristo kwa hili sina mchango, labda wenzangu kama mimi wanachakuchangia...:sad:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom