Why do women cheat...

Ni hawahawa wa siku hizi ama wa enzi zile? Hawa wanaojua na mahandsome boy wanafananaje? Labda
 
Na ukweli ni kwamba most of such women are the ones men run after (20th Century fool...)

..Na ndio maana maambukizi ya ukimwi hayaishi..lol
 
Zuma therapy

Ukiwa na tabia kama ya Zuma hata ukiwa nao 10 hawatoshi, kwani kila kinachojitokeza kinataka kukutoa roho. Utaishia wangapi? Ni kukaribisha prostate hyperplasia (kuvimba tezi za prostate kwa sababu ya kuzi-overwork)! Hata kama chakula kikiwa kizuri kiasi gani muungwana anapakua kidogo tu ili kutunza staha yake ingawa angetamani kujaza sahani na kurudia tena!
 
Mwanume akicheat, ni shetani kampitia, mwanamke akicheat ni kicheche. Na wanawake wenyewe wanabuy hiyo myth.

Mtoto wa kike ukijisikia kujirusha ili kujiridhisha kimapenzi, jirushe.

Tena ukijua mwenzio kacheat huna hata haja ya kumuuliza au kupigana ngumi na mgoni wako. Mpigie simu mwanaume mwingine anayekujali na unayempenda (ambaye kila siku unajizuia kujirusha naye as you are in a relationship with someone who takes you for granted).

Jipe raha mwenyewe.

Tehe tehe tehe! Nimeupenda mtazamo wako!
icon10.gif
 
Ukiwa na tabia kama ya Zuma hata ukiwa nao 10 hawatoshi, kwani kila kinachojitokeza kinataka kukutoa roho. Utaishia wangapi? Ni kukaribisha prostate hyperplasia (kuvimba tezi za prostate kwa sababu ya kuzi-overwork)! Hata kama chakula kikiwa kizuri kiasi gani muungwana anapakua kidogo tu ili kutunza staha yake ingawa angetamani kujaza sahani na kurudia tena!

halafu mkulu nina wasi wasi kama mkuu Zuma anawaweza wale wote kiukamilifu au ana wasaidizi?:D
 
Hivi soda ya kopo maana yake nini? Seriously, nimesikia mara nyingi lakini nimeshindwa kuidadavua maana yake! Msaada kwenye tuta tafadhali.

dah mkuu nakwambia kuishi mjini kazi! wenyewe wanamalizia kwamba 'hakintoshi kipapatio nataka paja miye':D
 
halafu mkulu nina wasi wasi kama mkuu Zuma anawaweza wale wote kiukamilifu au ana wasaidizi?:D
hehehe!anawaweza tu.mbona mfalme suleiman alikuwa na wake 700?na concubines(wachumba) 300 kama sikosei...na aliwamudu
 
hehehe!anawaweza tu.mbona mfalme suleiman alikuwa na wake 700?na concubines(wachumba) 300 kama sikosei...na aliwamudu

That was by then....manake walikuwa wanaishi hadi miaka 900 na ushee, sasa hawa wa siku hizi mara chipsi kuku wa ARV, wapi bana miaka yetu ni limited na hivyo hivyo uwezo wa kuperfom!
 
dah mkuu nakwambia kuishi mjini kazi! wenyewe wanamalizia kwamba 'hakintoshi kipapatio nataka paja miye':D

umenikwaza I was not supposed to be here now ila hicho kibwagizo......aramba kumbe siyo bure eeeeeeeeeeeh!!!
 
umenikwaza I was not supposed to be here now ila hicho kibwagizo......aramba kumbe siyo bure eeeeeeeeeeeh!!!

oooh sorry binamu yangu wa ukweli...kumbe na wewe kimekupata jamani? twin wako yuko wapi isije na yeye akawa amekwazika jamani....LOL:D
 
Back
Top Bottom