Why do women cheat...

huyu sijui ndo kafumaniwa na husband wa mwenzio ...
cheating-woman.jpg
 
Kabisa! hakuna kilicho bora. Kwa hiyo mtu ukikubali kuwa kwenye uhusiano na mtu ukubali pia kuna uwezekano wa wewe kuibia au yeye kukuibia. Sasa wengine hatupendi shida. Kuishi na wasiwasi wa namna hiyo kwangu ni shida.

Kwa hiyo umeamua kuwa single for the rest of your life?
 
Back
Top Bottom