Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
- Thread starter
- #21
Sasa usingeandika kitu ukaweka tu link ili tusomee hukhuko sasa unaanza kusimulia ikifika katikati unataka tuende kwenye link tukifika huko tena tuaanza kusoma kuanzia mwanzo..aah ticha bwana..thanks though
Mkuu,
link imewekwa to authenticate the thread...yaani source na
pili, ni kwamba humo kwenye link ndo kuna video yake ukitaka
kuiona.