Why do men ogle curvy women? “Why boobs and butts will always matter in advertising”,

mi sio siri wana JF,nimeipenda hiyo tafiti.lakini hata kwa mazingira ya kwetu mara nyingi hali hiyo ya kuwaangalia dada zetu pindi tunapokuwa mabarabarani au pengine pote ni hali ya kwawaida sana kwa wanaume!mi napenda sana kuangalia shape zao na hasa viuno,sikimbilii sehemu nyingine yeyote zaidi ya kiuno!naamini ndo sehemu pekee inayomtofautisha kwa urahisi mwanamke kwa mwanaume!ni baraaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Oooh,how sweet??!!.
avatar12655_14.gif


Teh teh teh! very Sweet!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom