Why did you get married?

Mimi natamani ndoa ili nirudishiwe michango yangu
Na zawadi hasa za kitchen party!
Pia kuwakoga mashost wasioelewa,jana Mr kanipeleka
huku,nikiombwa mchango wa kitchen party niwaambie 'hadi
Nikadiscuss na Mr' mradi mbwembwe kwa mashost wakati ndani
kila mtu kimpango wake.
Ndoa siku hizi maonesho watu waone pete japo kujinunulia
naweza ila ile ya kushudiwa na watu.
Niolewe ili nijitambulishe as Mrs Fulani wajue nina mume.
Ila hata sijui mbwembwe zote zinanisaidia nini na
Mradi nijioneshe tu japo ndoa yenyewe mawazo tu.
Naongea nimeyaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom