Why Christians are jealous and hostile to Atheists’

Then how can humans claim to have freewill?

Ans:It is true I and you also have a freewill, see how it is on

Deuteronomy 30:19 (King James Version)

19 I call heaven and earth to record this day against you, that I have set before you life and death, blessing and cursing: therefore choose life, that both thou and thy seed may live.

Hapa mbingu na nchi zinashuhudia kila tendo hata unapoisoma hii post.

If humans have freewill, how can god claim to know everything before it happens?

Ans:The way you live is just acting(like a movie) the scripts written by him,the only difference is what you choose. Remember as the man thinks so he shall be.
Also read
Jeremiah 29:11 (New International Version)

11 For I know the plans I have for you," declares the LORD, "plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.

If god has limitless love, and limitless power.

Then how come he allows evil? Can he stop evil? If he can why doesn't he?

Ans: All those evils happens because people have chosen to be evil(freewill) and this lead by FEAR
JEALOUS
HATRADE
REVANGE
GREEB
SUPERSTITION
and ANGER of the people.
By the way you have to know this

Bible (King James)/Ecclesiastes 3:1
To every thing there is a season, and a time to every purpose under the heaven.

Also see this
Galatians 6:1-9 (New International Version)

Doing Good to All

1 Brothers, if someone is caught in a sin, you who are spiritual should restore him gently. But watch yourself, or you also may be tempted. 2 Carry each other's burdens, and in this way you will fulfill the law of Christ. 3 If anyone thinks he is something when he is nothing, he deceives himself. 4 Each one should test his own actions. Then he can take pride in himself, without comparing himself to somebody else, 5 for each one should carry his own load.

6 Anyone who receives instruction in the word must share all good things with his instructor.

7 Do not be deceived: God cannot be mocked. A man reaps what he sows. 8 The one who sows to please his sinful nature, from that nature[a]will reap destruction; the one who sows to please the Spirit, from the Spirit will reap eternal life. 9Let us not become weary in doing good, for at the proper time we will reap a harvest if we do not give up.

In order to prove to you that there's the time for every thing and that even the DEVIL know about JESUS, read this;

Matthew 8:28-32 (New King James Version)

Two Demon-Possessed Men Healed

28 When He had come to the other side, to the country of the Gergesenes,[a] there met Him two demon-possessed men, coming out of the tombs, exceedingly fierce, so that no one could pass that way. 29 And suddenly they cried out, saying, “What have we to do with You, Jesus, You Son of God? Have You come here to torment us before the time?”
30 Now a good way off from them there was a herd of many swine feeding. 31 So the demons begged Him, saying, “If You cast us out, permit us to go away into the herd of swine.”
32 And He said to them, “Go.” So when they had come out, they went into the herd of swine. And suddenly the whole herd of swine ran violently down the steep place into the sea, and perished in the water.

'Hope u 'ev got it. ila ukiulizawa na wewe ujibu

Wapi MaxShimba?

Mkuu sielewi kama unahubiri injili ama unajibu hoja kwa hoja,hata hivyo nyie wahubiri injili mnaongozwa na emotions kwasababu kimsigi hamuamini kwamba the bible should be questioned to begin with,hata FYI kwa mujibu wa bible shetani alikuwa na nguvu sana huko mbinguni na alitaka hta kumpindua Mungu,na Mungu akachukizwa akamtupa duniani,na alipotupwa duniani kwa mujibu wa bible,aliambatana na kikosi chake kilichokuwa kikimtii yeye instead of Mungu,wakati kwa mujibu wa bible,binadamu hayupo na hata Adama na Hawa hajaumbwa...Na kwa taarifa yako ulitakiwa useme kuwa hata shetani na yeye ana nguvu,na hapa duniani bado yeye na Mungu(Ambaye aliamua kuwachanganya binadamu na shetan huku duniani mara baada ya anguko la eden)wanapambana kwasana tu.
Tujaribu kujadili bila emotions kwani hata hivyo vifungu vya bible unavyo quote hapo ni Roman empire walichaguwa kuwa ni vitabu gani viwemo ndani ya bible,na nyaraka nyingi sana waliziminyia kwa manufaa yao,product ya bible ni product ya uongozi huo wa Roma ulioukuwepo na kumyofoa baadhi ya nyaraka na kuziapprove nyingine amabazo ndo mnazi quote hapa.

Msisahahu kuwa dini hizi especially uislam na ukristo vilisababisha upotevu wa muda na material za sayansi zilizokuwa zikifanyiwa kazi kwasababu tu ya kutaka kumanipulate watu na kuwatawala...Sayansi hii ambayo imerahisishha maisha na hata kutufanya tuishi kama binadamu wenye kuyatambua mazingira yao imetokea mbali sana hilo uelewe,tena kuna wakati material zote zilipotea bahatati nzuri zilikuwa kwenye maadnishi ya kiarabu pia na thta was the only way ziliweza kupatikana na kuanza kutafsiriwa tena na kuendelezwa,mifano imeshawekwa hapa na pia unaweza kufuatilia jinsi ambavyo wenzetu waliendelea kwa kuayendleza mawazo ya nyuma na si kuyabeza,kuanzia kwa kina Aristotle,Kepler,Corpenicuss,Galileo Galilei,Brahe,Newton,Sadi Carnot,einstein,Plato descartes na wengineo. Kumbuka kuwa it was the early Greeks more than any of the earlier people who began to replace "religious" explanations with logical arguments based on simple underlying theories.Theories zao hazikuwa correct all the time lakini important contribution zake ni development of a method for dealing with pyhsical pehenomena,method ambayo sasa inaitwa "scientific method" Kama una muda fuatilia Platos's "Alegory of cave" Back then kama alivyosema Bluray kuwa sayansi ilikuwa ikiitwa natural philosophy.

Msichangaye sayansi na dini as one against another kwasababu hata hao waliowaletea didi wangefanya hivyo wasingekuwa na maendeleo.Dini ni imani,na imani ni bayana ya mambo yasioonekana where as the goal of science is to "explain" the appearences,that is to explain what is observed in terms of the basic underlying principles.

Pia naamini kwamba historia huandikwa na washindi,vitabu vyote mnavyosoma vya dini ni nhistoria za makabila mengine na utamaduni wao ambao imebidi uabudiwe kwani washindi ndo waliandika historia,na bado hadi sasa vita vinaendelea especially btn wakristo na waislam,hata ukiangalia old testaments ambayo ni torati inaendena sana na quraan.Nyie watu wa dini mngekuwa wajanja mngetumia nafasi kuwafahamisha wananchi pia kuhusiana na mambo muhimu ya sayansi ili kuuondoa umasikini....Waislam wanaamini ukifa kwa namna flani basi unarithi hata bikira kadhaa huko mbinguni,na wakristo nao wanaamini kuishi ni kristo na kufa ni faida...Yani vurugu tupu!

Bibliae inatoa msisitizo sana kuhusu maisha ya baadaye,yani ukishakufa,na inasema wazi kabisa kuwa utajiri si jambo zuri,issue ambayo ilikuwa more applicable kwenye karne ya kwanza wakati Yesu akiwatetea masikini ambao walikuwa wengi zaidi,message hii imekumbatiwa sana tu Afrika na watu hawaoni umuhi,u wa kutafuta maendeleo kwani ni mambo ya "kidunia" Yani kichefu chefu,tuko nyuma sana,wacha niishie hapa kwasasa.
 
Honestly speaking nimejikuta natabasamu pekeyangu baada ya kusoma post yako.
Lakini poa ngoja kwanza nimsubiri aliyeuliza swali aseme kitu, kisha ntaweza kuangalia nini cha kufanya au kusema. kwa sasa naruhusu wengine wachangie kama wana weza.
Ila nashukuru kwa maoni yako.
 
Huwezi kujibu maswali ya kisayansi kwa kutumia aya za biblia, aya za mapokeo, aya zenye utata, aya zinazosema dunia ina miaka 6,000, aya zinazosema jua linazunguka dunia.

Unategemea a modern thinking man aamini kwamba biblia ni kitabu cha mungu? Kitabu kinachosema dunia ina miaka 6,000? Kitabu kinachosema jua linazunguka dunia?

Wewe unaamini dunia ina miaka 6,000? Wewe unaamini jua linazunguka dunia?

Hujatoa majibu ya maswali, umetoa dogmatic biblical boilerplate.
 
Tiger how about you really reading a bible yourself? Really reading it, i.e. not only to understandingless repetition (and (mis)quoting) of text, but to critically review and understanding of what is said and meant in and by that text? A more educated, by moments scientific reading and reflection on texts? Ever tried? Or don't they teach that at your school Tiger!!?...
 
Hizi ni blah blah zako za kawaida, hebu, lete hizo utata zilizo ndani ya Biblia tuzione.
 
Tiger how about you really reading a bible yourself? Really reading it, i.e. not only to understandingless repetition (and (mis)quoting) of text, but to critically review and understanding of what is said and meant in and by that text? A more educated, by moments scientific reading and reflection on texts? Ever tried? Or don't they teach that at your school Tiger!!?...

Hivi huwa unafikiria kabla ya kuandika? Kama kuna misquoting of the text, why don't you put the correct quote of the texts?
 
Huwezi kujibu maswali ya kisayansi kwa kutumia aya za biblia, aya za mapokeo, aya zenye utata, aya zinazosema dunia ina miaka 6,000, aya zinazosema jua linazunguka dunia.

Unategemea a modern thinking man aamini kwamba biblia ni kitabu cha mungu? Kitabu kinachosema dunia ina miaka 6,000? Kitabu kinachosema jua linazunguka dunia?

Wewe unaamini dunia ina miaka 6,000? Wewe unaamini jua linazunguka dunia?

Hujatoa majibu ya maswali, umetoa dogmatic biblical boilerplate.

Kwa jinsi maswali yalivyokuwa niliona niyajibu ethically ila kwakuwa nilitoa mistari ya bible kwa watu ambao pengine kwa kutotaka kutazama kwa jicho la tofauti wanaweza kuona ni upuuzi ila kama utaangalia vizuri tena hata sayansi ambayo mpaka sasa inajaribu kuja na possibilities za time travel utagundua kuwa wanacheza na universe ambayo haiko bounded na na time wala space kwa maana nyingine time travel inacheza na universe ambayo past,present na future vina-exist simultaneously. ndiyo maana unaweza toka present ukarudi past au kwenda future. vivyo hivyo kwa space travel.
Haya ni mambo ambyo siyo kila mtu anaya fahamu.
Na kuyajua haya hakumaanishi tume-create sisi, the only thing we do is discovering a very tiny thing of the reality and we will never uncover the whole of it. Note :bible haija kataza uvumbuzi na wanovumbua miongoni mwao bado wanamtambua Mungu.

Kama kati yenu kuna mtu anaweza kunieleza DNA code zinazo govern every single function(kama mnazijua zote) anieleze ziliingiaje kwa bacteria flagellum?

Aniambie ipi kati ya parts zifuatazo ilianza ku-evolve kati ya membrane,rotor,rings,axis and the motor na kwakila part aniambie ilikuawa governed na DNA code ipi na iliyotoka wapi?

Kumbuka pia hizo codes ndiyo zinazo amua mtu awe na moyo wa ukubwa gani,nywele,ngozi, macho misuli..... iris design of the eye na finger prints ambazo kila kila mtu ana za kwake.

Swali linakuja kuanzia reptile,ndege.... na mtu wote wana tofautiana,hebu niambie mnaweza kunishawishi kuwa genetic codes zao zili-evolve lini mpaka wengine wakawa na magamba,manyoya nahizo aina zote za ngozi?

Tukirudi kwenye swali ambalo mi nasema nimelijibu morally naomba uondoe maneno LORD,JESUS & GOD halafu weka neno LOVE, kisha ondoa SIN(s) na uweke CRIME(s) pia ondoa TEMTATION(s) na uweke BADWILL.

Mkisoma kwa umakini mtagundua kuwa maswali yenu yote yameshajibiwa humo(someni between the lines mtaona),humo hata time travel imejibiwa kwenye bible pia yale machache niliyoyaongezea kati ya lines za bible pia ni muhimu. Hebu mmoja a-edit kama nilinyosema halafu someni nyote kwa pamoja.

Ila na enjoy sana yani jopo zima limekaa kudismiss hoja tuza watu?
safi sanaaa!
 
I thought so, maswali huwezi kujibu unakuja na copy paste hogwash boilerplate, time travel this, universe that DNA that.

unajua hata kimoja kati ya vyote ulivyosema? Au unataka kuonekana umo tu na wewe?
 
Huna jipya wewe.

I think we need a better atheist, kama yupo jukwaani.

Mwisho, bado hujaleta hizo utata zilizo ndani ya Biblia.
 
Tatizo biblia yenyewe huijui.

Ushawahi kumsikia Archbishop Usher? Ushawahi kusoma kitabu cha Joshua na kuona jinsi mungu alivyosimamisha "jua kuzunguka dunia"?
 
I thought so, maswali huwezi kujibu unakuja na copy paste hogwash boilerplate, time travel this, universe that DNA that.

unajua hata kimoja kati ya vyote ulivyosema? Au unataka kuonekana umo tu na wewe?

Wazee hivi mnajaribu kufikiria kidogo hayo mnayo yasema?
Sawa mi nime copy ila unaoje kama utajibu kwanza kwakuwa we unajua yote hayo? Na kama unaona nlicho-copy sikijui niambie basi wapi nimeandika vitu visyo leta sense? Siamini kama mtu anaweza kubahatisha mistari yote.
Hizi ukimpa sokwe laptop anaweza kuandika ubeti mmoja wa Shakespeare?

Umeshindwa hata ku-edit mistari ya bible ukasoma tena,unaishia kusema nime-copy?

Dismiss... dismiss....dismiss
 
Tatizo biblia yenyewe huijui.

Ushawahi kumsikia Archbishop Usher? Ushawahi kusoma kitabu cha Joshua na kuona jinsi mungu alivyosimamisha "jua kuzunguka dunia"?

Hili swala la kusimamisha jua nilisha kupa jibu siku nyingi tu na ukakaa kimya.
Nivizuri sana kuangalia bible iliandikwa kwa nani na kwa kipindi gani, kumbuka kunapost moja nili-refer kwa Sir Newton kuwa alikuwa anamini uwepo wa Mungu
ukasema mazingila(famlia) aliyoishi ndiyo yalisababisha aamini hivyo alivyo amini
tena ukasema HATA PHYSICS ILIKUWA CHANGA.
Kwa akili za kawaida ni kipindi gani hiyo PHYSICS ilikuwa changa zaidi?
Ni kipindi cha Yoshua au Newton?
Hivi unategemea mtu wa kipindi kile angeelewa kama watu walio endelea mpaka kufikia kwakina Galileo(ukilinganisha vipindi walivyoishi)?
Hapo unfikiri utamueleza nini mtu akuelewe zaidi ya kumuleza kile anachoona?
Mbali na hilo hakusema (Mungu mwenyewe) kuwa nalisimamisha jua au kusema waambie(Yoshua) watu wako kuwa ninalisimamisha jua, Usisaha kuwa hata jua lina movement na anauwezo(Mungu) wa kulisimamisha..
La ajabu hapo liko wapi?
Hao wanasayansi walikuwa wapi wasimsahihishe kipindi hicho kama wao walikuwa wanajua?
Ndio maana unaambiwa kila jambo na wakati wake.
 
Kwa hiyo mungu alikuwa anaandika biblia kwa kulingana na uelewa wa watu wa zama zile? Kwa hiyo maneno ya biblia si eternal?

It is obvious hujawahi hata kumsikia Archbishop Usher.
 
Honestly speaking nimejikuta natabasamu pekeyangu baada ya kusoma post yako.
Lakini poa ngoja kwanza nimsubiri aliyeuliza swali aseme kitu, kisha ntaweza kuangalia nini cha kufanya au kusema. kwa sasa naruhusu wengine wachangie kama wana weza.
Ila nashukuru kwa maoni yako.

Ni vyema kama unashukuru kwa maoni yangu,hata hivyo usijali kumsikiliza aliyeuliza swali,kwani "aliye" si mimi,mimi nilijibu posting yako kwa hoja na nimategemeo yangu utarespond in the same way and manners.Stand for yourself and be counted,dont go by the flow coz only the dead fish does that.Since you're alive,you should then swim through and stand for your idea.
Ni vyema ukasema ni kipi kilichokufanya utabasamu peke yako na kwanini utake "kuweza kuangalia nini cha kufanya ama kusema" mara baada ya aliyeulizwa maswali kusema kitu?Nani huyo aliyeulizwa swali anayetakiwa kusema kitu?
Ningeshukuru.
 
Kama unaifahamu bible vizuri huwezi shindwa kutofauttisha kati ya Mungu na mungu, Bwana na bwana Roho na roho,mbingu na mbinguni....

Ungeyajua hayo sidhani kama ungeuliza hilo swali la zama zile. ungejua tu nani kasema nini saa ngapi na mahali gani,na maanisha siyo kila neno la bible amelitamka Mungu.
Hata kitabu cha Mwanzo(by Moses) japo kwa sehemu kunaelezea kuhusu uumbaji na wale watu wa mwanzo(Musa hakuwapo) lakini ukichungza vizuri utaona maneno kama haya 3 And God said, "Let there be light," and there was light. 4 God saw that the light was good, and He separated the light from the darkness. 5 God called the light "day," and the darkness he called "night." And there was evening, and there was morning—the first day. Humo kuna maneno ya muandishi na ya Mungu mwenyewe na usiniambie hujasoma sarufi.

Kuhusu Usher ni kweli sijawahi kumsikia na sidhani kama ni lazima kumsikia. Ungeniuliza kama nimewahi kumsikia Yesu hapo ningeona umuhimu wa swali lako, huwezi kumsikia kila mtu.

Kwakumalizia naomba uangalie post zangu nyingi nimekuwa nikijibu maswali yenu ila mnachokifanya ninyi ni aidha kutojibu maswali yangu, kuacha swali la msingi na kuibuka na swali jingine kwenye majibu yangu bila kukataa au kukubali majibu yaliyotangulia, kuibua hoja mpya kabisa au dismiss..dismiss...dismiss na hapo ndipo mnapo wakalili vibaya wanasayansi wakati wengine wanatafuta ukweli kuna wengine wanatafuta kumu-eliminate MUNGU.
Nawaambia "Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away".-siyo mimi ni Mungu.

Nilikwambia nieneshe mistari niliyo copy isiyo make sense... kimya, nikasema jibu basi yale maswali.... kimya, edit ile mistari ya bible kisha uisome tu kama poet kisha useme kama kuna maana...kimya halafu saizi umeshahama huko umerukia kwa Yoshua hivi ni kweli kwamba huyaoni hayo maswali?
Mi ningekuona uko makini sana kama ungesema sawli fulani jibu hili hapa tena kuanzia mwanzo lakini all i see is dismiss... dismiss..dismiss Na hata ukirudi hapa itakuwa hivyo hivyo. DNA iko wapi? Bacteria flagellum yuko wapi..... dismiss..dismiss...dismiss.
 
Nilifurahi tu kuona mzee umekuja na mzuka kweli kweli na nilisema nimsubiri aliyeULIZA siyo aliyeULIZWA maana mi siko hapa kudismiss hoja. kuhusu response nafikiri nili-respond ndiyo maana aliyeuliza ali-respond na wewe pia uli-respond, hata Darwin na MaxShimba wali-respond.

HTML:
Honestly speaking nimejikuta natabasamu pekeyangu baada ya kusoma post yako.
Lakini poa ngoja kwanza nimsubiri aliyeuliza swali aseme kitu, kisha ntaweza kuangalia nini cha kufanya au kusema. kwa sasa naruhusu wengine wachangie kama wana weza.
Ila nashukuru kwa maoni yako.
Edit/Delete Message
 
uzuri wa hii ishu ni kwamba at the end of the day, wote tutakufa na hapo ndio tutujua chuya ni zipi na mchele ni upi, kwa sasa hakuna haja ya kulumbana, anayeamini kuna Mungu aendelee kuamini na aishi accordingly na aliyeamua kutokuamini aendelee na maisha yake
 
Kama unaifahamu bible vizuri huwezi shindwa kutofauttisha kati ya Mungu na mungu, Bwana na bwana Roho na roho,mbingu na mbinguni....

Ungeyajua hayo sidhani kama ungeuliza hilo swali la zama zile. ungejua tu nani kasema nini saa ngapi na mahali gani,na maanisha siyo kila neno la bible amelitamka Mungu.
Hata kitabu cha Mwanzo(by Moses) japo kwa sehemu kunaelezea kuhusu uumbaji na wale watu wa mwanzo(Musa hakuwapo) lakini ukichungza vizuri utaona maneno kama haya 3 And God said, "Let there be light," and there was light. 4 God saw that the light was good, and He separated the light from the darkness. 5 God called the light "day," and the darkness he called "night." And there was evening, and there was morning—the first day. Humo kuna maneno ya muandishi na ya Mungu mwenyewe na usiniambie hujasoma sarufi.

Kuhusu Usher ni kweli sijawahi kumsikia na sidhani kama ni lazima kumsikia. Ungeniuliza kama nimewahi kumsikia Yesu hapo ningeona umuhimu wa swali lako, huwezi kumsikia kila mtu.

Kwakumalizia naomba uangalie post zangu nyingi nimekuwa nikijibu maswali yenu ila mnachokifanya ninyi ni aidha kutojibu maswali yangu, kuacha swali la msingi na kuibuka na swali jingine kwenye majibu yangu bila kukataa au kukubali majibu yaliyotangulia, kuibua hoja mpya kabisa au dismiss..dismiss...dismiss na hapo ndipo mnapo wakalili vibaya wanasayansi wakati wengine wanatafuta ukweli kuna wengine wanatafuta kumu-eliminate MUNGU.
Nawaambia "Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away".-siyo mimi ni Mungu.

Nilikwambia nieneshe mistari niliyo copy isiyo make sense... kimya, nikasema jibu basi yale maswali.... kimya, edit ile mistari ya bible kisha uisome tu kama poet kisha useme kama kuna maana...kimya halafu saizi umeshahama huko umerukia kwa Yoshua hivi ni kweli kwamba huyaoni hayo maswali?
Mi ningekuona uko makini sana kama ungesema sawli fulani jibu hili hapa tena kuanzia mwanzo lakini all i see is dismiss... dismiss..dismiss Na hata ukirudi hapa itakuwa hivyo hivyo. DNA iko wapi? Bacteria flagellum yuko wapi..... dismiss..dismiss...dismiss.

Oops, nimemsikia mtu akimtaja Moshee hapa, mwanzo wa watu wa deen!!!

Unaweza kunijibu haya maswali ya toka mwaka jana? kuhusu Moshee?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/21733-ten-commandments.html
 
Kama kati yenu kuna mtu anaweza kunieleza DNA code zinazo govern every single function(kama mnazijua zote) anieleze ziliingiaje kwa bacteria flagellum?

Its the same question from Max some years ago, kama unataka nilijibu tena kwangu mimi haina shida.

Do you realize the chance of your personal and individual existence? Each ejaculation contains 200 - 600 million spermatozoa. You are one out of an average of 400.000.000. That's a hell of a chance, and given your fathers total manifold production of orgasms and ejaculations that led to no pregnacy at all, your chances of ever coming into existence were almost nil. Yet - there you are. Just a matter of chance, time and space. And the lust of your parents.

I guess you dont know anything about DNA
 
Lazima wawe na wivu, kwasababu nchi zenye wakristo wengi ndizo zilizo na atheist wengi. Wametoka wapi? Hapana shaka wameukimbia ukristo.

Kwa nini wamefanya hivyo? Kwasababu wahubiri wa Biblia wameshindwa kuwakilisha ujumbe wa Biblia.

Kwa nini wameshindwa?
Kwa sababu wameshindwa kuwashawishi waumini kuwa Yesu ni Mungu na Roho mtakatifui ni Mungu.

Sasa nini chakufanya ili kurudisha imani kwa waumini wake?
Kutoa hayo madai ya utatu, kuwa Yesu ni Mungu na Roho mtakatifu ni Mungu.

Hapo watapiga bao, na ndio ukweli alioutangaza Yesu.
 
Back
Top Bottom