Why BONGOFLAVA?!

Toboamambo

Member
Sep 16, 2007
26
5
inaniuma sana na kunishangaza sana eti wasanii wa tanzania wanaimba bongo fleva,jamani!!!!!!watu wanaumiza vicha na kuimba nyimbo za HIPHOP or RnB lakini wanaishia kuitwa BONGOFLEVA..
naona sasa ni wakati wa wasanii kupaza sauti zao kwa pamoja na kukataa ii mambo ati,inaniudhi sema sina la kufanya..... wanamziki wa HIPHOP na RnB nawasihi mpiganie na kupinga hili jina,kuwa ni tz song isiwe sasa na hili lijina bana,mnatuburudisha sanaaaaaa ukisikiliza kama Chizika Song by FBG Ailofanywa NoizMekah sijui tutasema tena BONGOFLEVA????

wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
pingeni hili jinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mnaimba HIPHOP n RnB
kama mnabisha sasa ni kazi kwenu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom