kujenga uwanja tu si mbaya ila siyo huo anaotaka kuujenga....ni upotezaji wa rasilimali[/QUOT
Tatizo alilokuwa nalo Kikwete wakati huu ni kutambua kuwa miaka mitano iliyopita kweli imepita na hakufanya kitu cha maana cha kuweza kukumbukwa, kwahiyo sasa anatapatapa kujenga hicho kiwanja cha ndege hapo Bagamoyo[ possibly kikaitwa kwa jina lake] iwe ndio alama yake kuwa hapo zamani katika nchi ya wadanganyika alitawala mkwere wa jina la Kikwete! It does not make economic sense to build an international airport at Bagamoyo when just a few kiolometres away at Dar International hadly five planes land in a day; moreover there are regions in Kigoma and Sumbawanga with fast economic potential that could do well if those resources were channelled to build roads that would open up these regions!! Hopefully, wabunge wa upinzani will pump some sense into the heads of the ccm robots in parliament to delete this project!!