Why are the Nobel Prizes always given out on the 10th of December

ishuguy

Member
Nov 3, 2007
76
10
Swedish chemist Alfred Nobel died on December 10, 1896. In his will he left instructions for the establishment of a foundation which would award monetary prizes to people who did outstanding work in physics, chemistry, physiology or medicine, literature, and for the promotion of world peace. Today, Barack Obama becomes the third sitting American president to win the Nobel Peace Prize.
Elinor Ostrom becomes the first female laureate of the Prize in Economic Sciences. Other Nobel Prize trivia tidbits: the youngest laureate is Lawrence Bragg, who was 25 years old when he received the Nobel Prize in Physics along with his father, in 1915. Leonid Hurwicz was, at 90, the oldest recipient of a Nobel Prize.
 
hapo tujifunze nini sisi watz, Nyerere walimbania, hizo ni ngumu sana kwa kupata ukiwa kwenye hizi nchi zetu maskini
 
why does it has to be travesty???....unafanya kama wale walio award him that hawana akili au?,...he deserve it!..congrats Hussein Obama

He deserves it for doing what? Waliompa wamei discredit maana ya hiyo tuzo. Utampaje tuzo rookie president ambaye mafanikio yake bado hatujayaona? Useless
 
He deserves it for doing what? Waliompa wamei discredit maana ya hiyo tuzo. Utampaje tuzo rookie president ambaye mafanikio yake bado hatujayaona? Useless


Give credits when it's due!....labda wenzio wameona mafanikio yake kabla wewe hujayaona bado....na mafanikio siyo lazima yawe kuinua uchumi wa nchi could be any!....
 
Obama hana mda mrefu madarakani, mabadiliko makubwa hayawezi kuonekana sasa, kwenye hiyo tuzo watakuwa wamezingatia sana approach yake katika uongozi.
 
Give credits when it's due!....labda wenzio wameona mafanikio yake kabla wewe hujayaona bado....na mafanikio siyo lazima yawe kuinua uchumi wa nchi could be any!....

Mafanikio gani wewe? Mtu kawa raisi juzi tu...na kuchekesha eti kawa nominated wiki mbili toka aapishwe kuwa raisi. Upuuzi mtupu.

Mpaka leo Mohandas Gandhi hana hiyo tuzo lakini Obama kapewa. Kuna watu kama kina Mandela na Dr. King, Mother Theresa, ambao waliweka maisha yao hatarini kupigania haki na usawa kwa wote na matokeo yake ya kazi zao yako well documented, wao ndio wanapaswa kushinda tuzo kama hiyo lakini siyo rookie president.

Shit...hata Nyerere alikuwa much more accomplished kumshinda Obama na hakupata. Leo hii huyu hata mwaka hajafikisha eti wanampa hiyo tuzo. I've lost all respect to nobel committee. They are too much influenced with politricks
 
Back
Top Bottom