Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,918
- 6,007
Hi Wana JF!
Nilikuwa naangalia Luninga wakati fulani, nilikuta issue mezani inayohusu Transgender ktk kipindi maarufu cha 'The Patricia Show' ktk channel ya M-Net, Magic Africa. Mbele ya Mama Patricia alikuwepo binti mmoja hivi (19 yrs) akiongea kwa kujiamini sana. Sikuweza kupata habari kamili kuhusu 'Transgender maana kipindi husika kilikuwa kikielekea ukingoni. Lakini kwa ufupi nilisikia huyu binti akiongea hivi: 'Mimi ni mhanga wa Transgender; ndugu zangu pamoja na jamii kwa ujumla wanaona kuwa mimi ni mtu ambaye sistahili kukaa ktk sayari hii! Mimi nimezaliwa hivyo, sina jinsi na siwezi kubadili maumbile yangu! Acha jamii inihukumu, lakini nitabaki kama nilivyo, I don't care!''
Wana JF, hivi 'transgender' ni nini na inasababishwa na nini?