why are 99% of men quiet during sex

hahaha hommie...... hivi, ikiwa watu 9 inakuwa ni 90%, lakini wakiwa 50 je?
Hahaha...50 inakua 98%....ili upate 99 lazima uwe na aghalau 66, kama una-roundup, otherwise ni 99 kwenda mbele!
 
hahahaha!!!!!!!!!
raha kweli kweli !!!!!!
dah spatii picha wote mnahola tena ile ile uyu analia km panya uyu analia km pig...........dah lazima the next door apate habari yake!!!!!
 
Sometimes ni kasumba tuu kuwa nami mwanaume nikitoa sauti kutakuwa hakuna tofauti ya mwanamke na mwaname but otherwise kama mumeshibana facial express toka kwa mwanaume inaweza mjulisha mwanamke kuwa kidume amepatikana.
Sidhani kama ulimaanisha mikelele kama ya kufukuza mwizi ila miguno ya apa na pale
 
Hebu tuepuke statistics ambazo hatuwezi kuzi-prove. Unasema 99% ya wanaume. We umejuaje??? Au unamaanisha 99% ya wanaume uliowahi kulala nao??

haya ni malalamiko nilisikia nikiwa kwenye salon - mtama ukimwagwa among other avenues wanawake waki discuss - ni complaint ya wanawake wengi
 
Sometimes ni kasumba tuu kuwa nami mwanaume nikitoa sauti kutakuwa hakuna tofauti ya mwanamke na mwaname but otherwise kama mumeshibana facial express toka kwa mwanaume inaweza mjulisha mwanamke kuwa kidume amepatikana.
Sidhani kama ulimaanisha mikelele kama ya kufukuza mwizi ila miguno ya apa na pale

Ofcourse simaanishi kupiga mayowe lakini sio kunyamaza kama mtu amefariki - wengine hata kupumua ni shida
 
Duh hivi nani bado anapiga puli na sabuni? Mimi mara ya mwisho kupiga puli kwa kutumia mbuni ilikuwa mwaka 1990. Sabuni zinachubua bana halafu ikiingia kwenye urethra kukojoa inakuwa kasheshe...

Kitu Vaseline 100% petroleum jelly bana...utelezi mwanzo hadi mwisho.....

Yeah, Vaseline is gud.
 
This is a game dude, they call it nipe nikupe..... I give you some hard knocks, you give me some sound of appreciation of my knocks..... You make me feel crazy on the game, I give you sounds of well done.......
Thus it dude, play your parts!!
Remember
.......sex process is a circuit of Parameters, you put... she put.... then feedback tells.........
.......The most good feedback ever is sound........
Thanks and Regards
 
Nani huyo kalala na 99% ya wanaume au hata sample space iliyo adequately representative ili kutoa conclusion hiyo ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom