Why all men think all women have price tag?

Because women who do not have price tags are rare... or almost exintict. But then again, almost kila mwanadamu ana price tag siku hizi, hata wanaume.
 
Because most women do. . .
Ngoja ntauliza kama na mimi nnayo au la.
 
Everyone has a price, the problem is to know what it is - Pablo Escobar.

Kwa hiyo si wanawake tu hata wanamme wana price tag, shida ni kuisoma ni ipi au kiasi gani.
Mauaji mangapi ya kulipwa umeshayasikia?
 
Ila kwa maoni yangu inapoongelewa 'price tag' inaegemea zaidi kwenye pesa/vyeo zaidi ya mapenzi,watoto, ndoa n.k.

Kwahiyo mi mtu akinipata sababu tu ana sauti nzuri, sidhani kama anaweza akasema kuwa mie bei yangu ni sauti tu.
 
Lizzy mie sijaelewa!
 
Last edited by a moderator:
All men.....All women! Theres nothing in this world that fits everybody...hata DNA haiwi match 100%!
 
nawazimia sana wanyama ndio viumbe bora ulimwenguni binadammu anashika mkia

mii nadhani the finest kind of relationship btn man & women who expect a great deal of each other but never ask it . jamani hela s izinatafutwa tu ,
 
Back
Top Bottom