Who's the daddy and who's the mummy

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Wacha tuu yote tisa lakini hawa watu juu ya lana zao wamebarikiwa pesa

article-2022453-0D4BA51A00000578-709_634x519.jpg
Papas and papas: Elton John and David Furnish attend to Zachary while their friend's Neil Patrick Harris and David Burthka look after their twins Gideon Scott and Harper Grace



article-2022453-0D4C564800000578-554_634x434.jpg
Privileged tots: Despite both being under one-year-old Zachary and Gideon Scott were carried by their parents into the exclusive Club 55 beach club




article-2022453-0D4BD81F00000578-184_634x352.jpg
Aren't you famous? The couple were snapped by groups of locals as they walked along the jetty




article-2022453-0D4C195200000578-280_634x387.jpg
This is the life! The pair arrived in St Tropez in this luxurious yacht
 
Wakuu hizi ni lugha za watu. Unamaanisha nini unaposema mummy?

A mummy is a body, human or animal, whose skin and organs have been preserved by either intentional or incidental exposure to chemicals, extreme coldness ...
 
siku hizi Mashoga wa ulaya huwa wanatoka kwao na kuja kuchukua watoto Afrika kwa kigezo cha adoption, kina mama muwe makini na watoto wenu.
 
Sasa hao watoto sijui wakikua wataambiwaje?kuwa wana mama mwanaume na tofauti na watoto wengine?ndio mwanzo wa kizazi cha mashoga..
 
waende zao na pesa zao. nikiwa peke yangu mtaani, nikamkuta uchochoroni mtu wa type hii na hakuna anayeniona na mimi nina pistol, nampiga bunduki tena kifuani kabisa afu akafie huko mbali hana maana...
 
Wakuu hizi ni lugha za watu. Unamaanisha nini unaposema mummy?

A mummy is a body, human or animal, whose skin and organs have been preserved by either intentional or incidental exposure to chemicals, extreme coldness ...

unavyojuwa wewe ni lugha za watu gani ?nafikiri kingilishi hukijuwi (hukielewi) na kiswahili Umesha kisahau kwa tarifa yako kamulize muingilishi yeyote youle Imean muingilishi :- panamainishwa nini mtu anaposema (who` is the daddy and who`s the mummy ) usigeuke wanaigeria kuwakosowa waingilishi waposena can I have a pint of lager mnaigeria anasema hicho sio kiengereza hii sio pint ni glass of beer
[h=2][/h]
 
wazungu hamnazo kama tutakubali kupokea kila kitu kwao kwa vile wao ni wazungu tu matokeo yake ndo haya tunapokea TABIA MTUMBA!!
 
Dunia imeisha. Hivi hawa watoto wamezaliwaje?

By surrogate mothers. Kinachotokea ni kuwa mbegu za kiume zinatolewa na mmoja wa hawa wanaume ( kwenye kisa cha D. Furnish na E. John walichanganya mbegu zao ili asijulikane nani amefanikiwa kutengeneza mtoto kati yao) Halafu wanatafuta yai la kike kisha kitu inachanganywa kwenye petri dish kisha inaingizwa kwa mwanamke aliyejitolea au aliyelipwa kulea mimba mpaka mtoto azaliwe. Money does not solve all problems but it surely helps to have some, as a matter of fact it solves quite a lot of problems.
 
Back
Top Bottom