Who's right? "Had have had"

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
najua humu kuna oxford dictionary nyingi.....angalia sentenso hii

If I'd have had the money I would have bought it.

Waingereza that would be a perfectly reasonable sentence, and so far kama sijakosea gramatically "I'd" is short for "I had", so "I'd have had" expands to "I had have had". I've been hearing, using, and reading, this construction.....

Wamarekani wanasema "had have had" is wrong. If I had to guess, I'd guess that they were looking for "If I'd had" instead of "If I'd have had"......

.....wakuu mnaweza kutujuza yupi yuko sahihi.....msi google maana ndipo nilipoitoa huko.....
 
......
If I'd have had the money I would have bought it.

.... "I'd" is short for "I had", so "I'd have had" expands to "I had have had". I've been hearing, using, and reading, this construction.....

.........

Sio lazima iwe hivyo, inawezekana pia I´d hapo imetumika kama abbreviation ya I would.
 
Sio lazima iwe hivyo, inawezekana pia I´d hapo imetumika kama abbreviation ya I would.
angalia hizi
i wish i had've had a recorder
If the Wahaya had've had car all roads would lead to Le Mans
 
Variations zote sawa kwani American English na British English zote zinakubalika na kutumika dunia nzima.
 
Variations zote sawa kwani American English na British English zote zinakubalika na kutumika dunia nzima.
swa mkuu zinakubalika lakini ukikutana na british na mnyamwezi huwa wanakinzana kwenye lugha zao....mfano lift na elevetor..........nakumbuka kuna mnyamwezi alikuwa anatafisiriwa movie ya kiingereza mengi ya maneno haelewi....

angalia kama hii I've had have had ukinyambulisha ni I have had had ambayo haileti maana kabisa.....
 
Tofauti siyo kubwa kihivyo. Kenya kwani wanaongea lugha gani? Si Kiswahili? Sasa Kiswahili chao na chetu viko sawa? Na wakiongea wewe huwa huwaelewi?
 
Tofauti siyo kubwa kihivyo. Kenya kwani wanaongea lugha gani? Si Kiswahili? Sasa Kiswahili chao na chetu viko sawa? Na wakiongea wewe huwa huwaelewi?
wakenya hawaongei kiswahili ile ni lugha tofauti kabisa..mfano utasikia anakuambia....ukipita kwa chochoro utamadwa....umeeelewa nini hapo
 
Niliona CNN walikuwa wanamuohoji jamaa african american kama sijakosea toka jimbo la Louisianawakawa wanaweka subtitle za kingereza na wakati jamaa alikuwa anaongea kingereza...http://www.lausafcu.org/
 
angalia na hizi
John said, "I have read that book".
John said that he had read that book
John said that he had have read that book.

Ipi sahihi?
 
Niliona CNN walikuwa wanamuohoji jamaa african american kama sijakosea toka jimbo la Louisianawakawa wanaweka subtitle za kingereza na wakati jamaa alikuwa anaongea kingereza...

Hata Mrema na Cheyo wanahitaji kuwekewa subtitles za Kiswahili wakiwa wanaongea Kiswahili....
 
Hata Mrema na Cheyo wanahitaji kuwekewa subtitles za Kiswahili wakiwa wanaongea Kiswahili....
tehe tehe tehe lol Cheyo..

...ina maana na majuu kuna venacular languages other than english?
 
Hii sijui umeiokota wapi?
hapo ndio mzozo sasa....mwanzoni nimesema waingereza na wamarekani wanakinzana...

...waingereza wanasem "I'd have had" expands to "I had have had" kwao ni sawa kabisa....lakini wamarekani had have had ni makosa....
 
Nilitegemea kujifunza english hapa, ila naona waalimu wenyewe hawajatulia
 
Nilitegemea kujifunza english hapa, ila naona waalimu wenyewe hawajatulia
yule jamaa brulay na pundit wanaongeaga english ngumu wangetusaidia hapa.....ngoja tuwasubirie wako wana google misamiati......
 
wacheni uchochezi nyie. asiyeelewa atajiju, na aende shule. kwani nani alisema kuwa kimarekani lazima kiwe sawa na kiingilishi. kule republique democratique du congo husema 'muzee kaiyenda kutumika atakuya mangaribi' wakimaanisha 'mzee kaenda mzigoni atarudi jioni'. Tatizo liko wapi hapo?

Ukitaka kumudu lugha yoyote duniani ni lazima ujifunze, utaelewa tu, bila hivyo utabaki kulalamika na kulaumu ... aah mbona kikorea na kichina vinatofautiana wakati wanatumia alfabeti hizo hizo, kwa nini hawakufanya lugha moja.

Usilazimishe mkuu, kiingereza sio kimarekani, sawa? (najua umesema ndiyo mzee japo kimoyomoyo)
 
hapo ndio mzozo sasa....mwanzoni nimesema waingereza na wamarekani wanakinzana...

...waingereza wanasem "I'd have had" expands to "I had have had" kwao ni sawa kabisa....lakini wamarekani had have had ni makosa....
HII UMEITOA wapi,nimejichanganya for some time,lakini-had have had-never heard such sentence,hope ujachanganya na mambo ya kwenye vitabu vya poetry
 
Back
Top Bottom