Who's next Kisutu magistrate court?

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Who is next today in magistrate court - kisutu? We have to get the ball rolling before we cast them out 2010
 
Wapigakura;

Anaefuatia ni Mgonja kisha Karamagi kisha Chenge. Sio lazima kwa utaratibu huo lakini wamebaki hao watatu.

Rostum na Lowassa hawagusiki. Ukiwagusa hao ni sawa na Mbeki alivyomgusa Jacob Zuma Rais wa ANC.

Habari ndio hiyo wapiga kura.
 
Mh!! Mi nadhani hivi vichwa vifuatavyo vikitinga pale kisutu tunaweza kuona mwanga kuelekea ushindi katika hii vita ya Ufisadi....Mgonja, Chenge,Karamagi,Sumaye,Mkapa,Vincent Mrisho,Chenge,Rostam....
 
Mh!! Mi nadhani hivi vichwa vifuatavyo vikitinga pale kisutu tunaweza kuona mwanga kuelekea ushindi katika hii vita ya Ufisadi....Mgonja, Chenge,Karamagi,Sumaye,Mkapa,Vincent Mrisho,Chenge,Rostam....

No no no! This is a test and an exam or a laboratory test and then the inference after all the above said guys have been subjected to the rule of law is to - CAST THEM OUT 2010 for they have been proved THIEVES - You know CCM abbreviates to it! That is no credit that they are HONEST BUT THIEVES, INHUMAN and LIERS cause initially they tried to defend the thing and finally after when we pressured hard they admitted. Even in the court when you admit the count then the case is straight forward. We have to have the correct interpretation here!
 
INVISIBLE'SKaramagi, Rostam, Meghji na Warioba Mahakamani leo!

UMEFUNGA STORY YAKO LAKINI TAARIFA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MWANASHERIA WA SERIKALI ALIYEHUSIKA NA KUWALETA AKINA BASIL NA WALE WA EPA MPAKA MUDA HUU YUKO KISUTU ANALANDALANDA KTK KORIDOR HUKU AKIANGALIA UWEZEKANO WA KULETA MAAFA MAPYA, TATIZO KWAO SASA NI MSIMAMO THABITI WA MAHAKAMA IMEKATAA KULETEWA KESI ZAO WAKATI JUA LIKICHWA SASA HAIELEWEKI KAMA HAWA WANANCHI WATAPELEKWA MBELE YA PILATO KESHO ASUBUHI AU LA? ANAYEVUMA MPAKA SASA KWA HAKIKA KUWA NI MTARAJIWA NI MH.KARAMAGI.

NADHANI ILE HALI ILIYOWAKUTA MRAMBA NA YONAH JANA IME WAFADHAISHA WAKUU, SASA WANAPANGA MBINU MPYA YA KUMWAGA UPUPU KISAYANSI PASIPO ZOGO MAHAKAMANI. TUSUBIRI TUONE.

MKUU NIMEFADHAISHWA NA KITENDO CHA KUFUNGA DIRISHA LA TAARIFA KTK THREAD YAKO MWENYEWE. USIHOFU MAANA WEWE UMEIITA TETESI.
 
What a joke!!!!

Couldn't stop laughing

Mtaongeaaaaa lakini Kidume JK kitaendela kundamiza Kibara. Tanzania bado hamna Vyama vya Upinzani, All i can see is a true and critical JF thinkers leading the battle.
 
INVISIBLE'SKaramagi, Rostam, Meghji na Warioba Mahakamani leo!

UMEFUNGA STORY YAKO LAKINI TAARIFA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MWANASHERIA WA SERIKALI ALIYEHUSIKA NA KUWALETA AKINA BASIL NA WALE WA EPA MPAKA MUDA HUU YUKO KISUTU ANALANDALANDA KTK KORIDOR HUKU AKIANGALIA UWEZEKANO WA KULETA MAAFA MAPYA, TATIZO KWAO SASA NI MSIMAMO THABITI WA MAHAKAMA IMEKATAA KULETEWA KESI ZAO WAKATI JUA LIKICHWA SASA HAIELEWEKI KAMA HAWA WANANCHI WATAPELEKWA MBELE YA PILATO KESHO ASUBUHI AU LA? ANAYEVUMA MPAKA SASA KWA HAKIKA KUWA NI MTARAJIWA NI MH.KARAMAGI.

NADHANI ILE HALI ILIYOWAKUTA MRAMBA NA YONAH JANA IME WAFADHAISHA WAKUU, SASA WANAPANGA MBINU MPYA YA KUMWAGA UPUPU KISAYANSI PASIPO ZOGO MAHAKAMANI. TUSUBIRI TUONE.

MKUU NIMEFADHAISHWA NA KITENDO CHA KUFUNGA DIRISHA LA TAARIFA KTK THREAD YAKO MWENYEWE. USIHOFU MAANA WEWE UMEIITA TETESI.

It not closed but opened both at top and the bottom. Alway we need to get the ball rolling! Who's next? And next after next? Till that they are all done!
 
Mkuu Mshiiri
Please rudisha kale ka picha kako ka mshiiri kweli...unajua thread inaweza kuwa inasua sababu hirizi umeiweka kabatini, ivae mkuu
 
Wakuu nimepata Uhakika wa mtu aliyeko hapo Kisutu kuwa Meghji na Karamagi wamefikshwa hapo na kusomewa mashtaka yao.
Habari zaidi zitakuja hivi punde
 
Back
Top Bottom