Who's kibwana mustafa dachi

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,564
11,478
Namtambua kama mtangazaji wa channel ten na magic fm..kwa wapenzi wa morning magic watakuwa wanamfahamu vizuri.. anaonekana ni mtu mwenye akili mingi sana na ufahamu wa hali ya juu..ana uelewa na kumbukumbu ya matukio mengi sana tokea enzi za nyerere hadi sasa ingawa ukimtazama haonekani kulingana hata na samwel sitta kiumri.. nimekuwa nikimfatilia sana vipindi vyake..ni mmoja wa hazina chache ktk matukio ya nchi hii ya kihistoria,kiuchumi na kijamii..naomba anayemfahamu vizuri anisaidie details zake..

ANGALIZO:Kama humuelewi usitoe kejeli.
 
Usimng'unye maneno unataka kutuambia nini?
 
Absolutely true na mimi nakuunga mkono huyu bwana ni very understanding na yuko neutral kwenye comment zake unfortunately na mimi nimemfahamu juzi tu kupitia Morning Magic....

Hili la kufahamu maandamano ya kina Sita UDSM alilolisema leo sio ajabu kwni kama una interest ya kusoma mambo mabali mbali yanayoihusu nchi yaetu nk unapaswa pia kuyajua hayo...Tatizo la watanzania hatupendi kusoma.....ukitoka nje haswa ya bara la africa ukiona jinsi wenzetu wasivyopoteza mda ikiwa ni kwenye vyombo vya usafiri au vituoni na hata sehemu za starehe utanielewa namaanisha nini....kila mmoja yuko busy anasoma....

Kwamba muanzisha thread ni yeye mwenyewe sidhani kwani kwa tunaomfahamu wala hahitaji sifa za kijinga namna hii na nitakuwa wa mwisho kuamini hili.

Kwa hakika kama yupo aliyemsikiliza huyu bwana leo 21.06.2012 kwenye kipindi cha Morning magic ambacho kimemalizika punde atakuwa amejifunza mengi....
 
Back
Top Bottom