Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Bwana huyu ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu cha Delft (Delft University of Technology) na mfanyakazi wa kampuni ya kijerumani iitwayo Orca Exploration ambayo ipo Tanzania.
Ametokea Oman ambapo alikuwa akifanya kazi na kampuni ya Shell na huenda akawa ndiye mkurugenzi wa Tanzania kuanzia June 23, 2010.
Wakati akiwa Oman amefanya kazi na kampuni ya Wintershall ambayo alikuwa kama Operations Director nchini Libya lakini mwaka 2002 alilazimika kurudi rasmi Shell huko Oman.
Orca wapo Tanzania kwa ajili ya miradi ya Songo Songo ambao ndio wanaotupatia umeme wa 300MW. Hawa ndio inchaji wa mradi huu wa Songo Songo
Nimeona tumjue walau kwa uchache...