Who will bring Kagame to Justice????

Kila kitu kiko wazi kwamba Kagame ndo muanzilishi wa mauaji ya kimbari but the world is silent but I dont know for how long

Vipi tukubaliane waAfrica!!! wakati sisi waAfrica unaotupa changamoto hii tukusaidie kumshitaki Kagame, wewe uusaidie ulimwengu kwa kuanzia tu changamoto yako kuwashitaki George Bush, Condoleeza Rice, Donald Rumsfeld, na Tony Blair na Ariel Sharon? wengine watafuata baadae. Vipi?
 
Siasa mbovu na dhaifu kamwe haziwezi kukuza uchumi.Kama Kagame angekuwa na siasa mbovu kama baadhi ya watu wanavyodai basi uchumi wa Rwanda ungezorota.Tukumbuke serikali nyingi za Afrika ziliambiwa na IMF na World Bank kuwa kudorora kwa uchumi wao kunatokana na siasa duni,ironically the same people are accussing Kagame of bad politics while acknowledging the gains made by the same government employing the so called bad politics!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom