Who Turn Good Tanzania Proffesional Bad?

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
" who turns the pure good proffesional Tanzanians to be bad citizen?"

Its too sad kuona Watu wanakosa Busara, Kuna mambo mawili matatu amabayo tunahitaji kuyaangalia kwa undani katika Hili swala zima LA UFISADI.

1. Kumbukeni ndani ya Tanzania there is a group of few families who think they own the country and this been going on and on for many years and these people for their own benefits been using what we call agents and subagents to fullfill their mission.At this point the victims of everything goes around are people who are getting involved within the system as agents or subagents.


2.Its hard to Judge at early stage anything about Mr Chenge ,BALALI right now but what we should be happy , is the fact that, their issue will give them a safety platform to say what he couldnt reveil before without a threat of the point no1 above.

3.Kazi kubwa tuliyo nayo ni kuua nguvu ya Hiyo big Group of People who hold about 60% of the country economy and not only holding but sit on the economy as well. And the only way we can do this is through people who are Individual victimised with system like mr Chenge and balali to reveal the truth.

When you look at Mr Chenge as other victim of the systems you will notice that the system has turned people from clean to dirty,
Another good example of a good and pure moral person and educated from harvard as well who turned bad is Mr MBuna but what can you say much about it just being sad he had no power to stop mkapa.

Nevertheless I am very sad for Balali because the system he chosen to opt in to finish his career was wrong which ruined he whole life ,Please Watanzania let us wake up and ask ourselves valid questions about the iiner source of everything and not be personal


" who turn the pure good proffesional in Tanzania to be bad citizen?"
 
Wafisadi are the opposite of good professional. Kama Mtu ni Msomi wa Havard ni kwanini unaiba pesa za wananchi wako masikini ambao hata huduma za misingi kama malazi na chakula ni shida!!. Kama umesoma Havard na umeona pesa ni ndogo kwenye kazi za serikali je kwanini usibaki hapa marekani na ukafanya kazi na elimu yako ya Havard. Tatizo ni uzalendo, hawa wafanyakazi wa serikali wamesomeshwa na serikali, wamepewa nyumba, magari, wanatibiwa bure na shukurani yao ni kuwaibia watanzania. Uizi si ujanja maana kama watu wote wangefikiria kuiba Tanzania ingekuwa pabaya zaidi ya tulipo sasa. Watanzania inabidi tupende nchi. Kitu kingine kinachosikitisha ni kwamba usisadi ni culture yetu sasa pesa nyingi zinazoibiwa hata hazitumiki!! Ni kama mroho anayekula mpaka kufa. Hawa siyo wafanyakazi wazuri na hawajawahi kuwa mawaziri. Solution ni kubadilisha katiba na mawaziri wasiwe wabunge
 
Sasa Kikwete ameishiwa wabunge wazuri wa kuwa mawaziri. Hawa wabunge wengi wana skendo sasa je ni nani atakuwa waziri??. Imefikia wakati medical doctor anakuwa waziri wa ulinzi wakati hajui hata kambi ziko wapi!. Kuna wasomi wengi na safi lakini hawajulikani vijijini na ni vigumu kuwa wabunge, sheria inalazimisha watendaji wa serikali kuwa wanasiasa. Vilevile mimi naona tungebakia na makatibu tu kama hapa marekani kwani ni raisi kuwachukulia watu hatua kama wapo kwenye msingi mmoja wa serikali badala ya serikali na bunge. Kama wewe ni mzalendo na umezaliwa mijini hata kama una elimu nafasi ni chache sana za kuwa mbunge sehemu za mijini na vijijini hujulikani kwani ulikuwa unaenda kusalimia babu na bibi tu. Hivyo raisi anabakia na wabunge walewale miaka nenda rudi kuwa mawaziri maana hakuna sehemu nyingine ya kuchagua. Kama wabunge wote wakiwa wanasheria basi mawaziri wote watakuwa wanasheria hata waziri ya afya!.Hivyo sababu mojawapo ya ufisadi ni mfumo wa kizamani.
 
siwezi kuamini kuwa kati ya wabunge zaidi ya 200 tunaweza kukosa watu wasio wezi na mafisadi, unless kama makundi ya mtandao na CCM asili bado yapo.
Kabla ya kupendekeza kama tuwe na mawaziri wasio wabunge, lazima tuangalie hatari za kuwa na mawaziri wasio wabunge.
Sasa hivi ndio walau tunaona wabunge kidogo wanajaribu kuitikisa serikali, wabunge wetu wengi ni kama watumwa wa vyama vya siasa, wanaonekana kama hawana individual conscious, nina hofu kuwa kama rais akiamua kuwachagua vigogo 40 kama chenge wenye mijisenti au wanaotishia wabunge kama Lowassa huenda tutakuwa na serikali ya kidikteta na bunge litakalokuwa linanywea kila siku.
 
Leokweli:

Najibu kichwa cha habari. Kichwa cha habari Who Turn Good Tanzania Proffesional Bad? ni myth. Ni lini professional wa Tanzania walikuwa wazuri?
 
Ni lini professional wa Tanzania walikuwa wazuri? Bin Maryam

Dhana Hii Mbaya ndio inatufanya Tuwe wategemezi wa Kila kitu and Thats prove to me ni jinsi gani unavojizarau mwenyewe, ninapoongelea Tanzanian profeesionals I am very sure kwamba ninakugusa na wewe.

"We wont develop until we start thinking posive about ourselves "
 
Back
Top Bottom