Who really killed Prof. Mwaikusa?

Ni lazima watu wasiamini tuhuma za kanisa ama watu wake wasiakini kuhusika na mauaji hayo kwa vile wao niwatakatifu sana. Labda tungeamini kama ingewahusisha watu wasiokwenye imani hiyo. NI MAONI TU
 
Tukirudi kwenye maudhuri ya habari, Marehemu Mwaikusa alikuwa nafanya shughuli zake na mashirika mengi na watu binafsi katika uhai wake. Ni jambo la kawaida kitokeapo kifo uchunguzi kufanyika katika maeneo ambayo alikuwa anafanyia kazi na kuhusiana nao kikazi. Lakini tahadhari inatakiwa kuwepo kwani katika habari hii imeegemea zaidi shirika hilo la Benedictine Fadhers Peramiho wakati marehemu amefanya kazi katika mashirika mbalimali na watu mbalimbali lakini hawajatiliwa mashaka ya kuonyesha uzito kama jambo hilo linavyokuzwa hapa bila kuonyesha ushahidi wenye kuleta uzito. Kudhania tu huku na madhara ya kulichafua shirika ni kasoro kubwa ya vyombo vya habari kuandika habari kwa kina kupamba magazeti bila kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha na ukweli wa wanachokianika gazetini, ndiyo kasoro inayoonekana wahariri wakuu wa vyombo vyetu vya habari na wanahabari wenyewe kutokuwa makini, labda wanakosa habari za kujaza kurasa za magazeti, hivyo kuchomekea mada zisizo na uchunguzi ulikamilika katika kesi nzito kama hii kunakoweza kusababisha uchafuzi wa hali ya hewa.

Mkuu nakwambia stori nzima doesn't add UP:Mwandishi anasema walikuwa wanatafuta nyaraka zilizo kuwa zinahifadhiwa na Prof.Mwaikusa (R.I.P), anasahau kwamba mtoto wa kiume wa marehemu aliwahi kusema wahuaji walingia naye chumbani wakamwambia baba yake ameuwawa kutokana ni UBISHI wake (lakini hawakufafanua), mtoto kakili kwamba hakuna nyaraka zozote zilizo chukuliwa na wauaji: soma link hii ya mwanahalisi: Rwanda yatajwa kifo cha Prof. Mwaikusa | Gazeti la MwanaHalisi

Sasa jaribu kulinganisha na post hii inayo jaribu kuwatuhumu watawa/mabruda na polisi! Hii inanikumbusha term inayotumika katika tekinolojia ya mawasiliano ya digitali inajulikana kama "PADDING" ndicho kilicho fanyika haka - and for what reason if I may ASK?
 
Ni lazima watu wasiamini tuhuma za kanisa ama watu wake wasiakini kuhusika na mauaji hayo kwa vile wao niwatakatifu sana. Labda tungeamini kama ingewahusisha watu wasiokwenye imani hiyo. NI MAONI TU

Wala mimi siamini kama suala zima linahusu DINI - kuna kitu cha ziada hapa!!!
 
Wanavyokashifu Uislamu hukusema hutanunua lakin wamesema ya Katoliki ndio unastuka ooh sitanunua. Ukimzoosha mbwa utaingia nae mpaka sehem ya ibada ndio hayo sasa.
Hisia zangu ni kwamba huu ni uzushi wenye lengo la kuchafua kanisa. Kuna wadini Raia Mwema? Ni gazeti ambalo nalinunua kila wiki; lakini kwa makala za aina hii, itanibidi nitafakari kama niendelee kupoteza mia tano yangu kila wiki.

Abate Lambert Doerr OSB? Kama naota vile!
 
Hata Mhashamu Kadinali amewahi kuhusishwa na deal za DAWA ZA KULEVYA! Huu ni muendelezo tu

Wote Mafia tu hao. Tena gazeti la Raia mwema ingekuwa Al-Nuur tungesema udini lakini hapa ndio yale matukio yaliyooanza miaka hiyo. Catholic janga
 
Mengi hata mazuri yenye kufanywa kwa nia njema yanaweza kutafsirika kwa mtazamo wa kimafya kwa sababu iwe ni kweli au fitina.

Kinachonishangaza kiwete kumsingizia kushinda mbio
Mbona leo unatoka sana povu kwenye kutetea Umafia? Hao wameweka uchunguzi wao na wewe weka wako kupinga usitoe povu jingi mdomoni.
 
Upumbavu mtupu! Na wewe uliyeleta hii maada you must be retarded and devoid of any sense of critical thinking. Shenzi type! Ningekuwa karibu na mwandishi wa huu upuuzi au mleta maada, wazushi wote wawili ningewapiga vibao vya nguvu! Pambaaf!
Jibu hoja sio jazba tu. Sasa ndio muone Uislamu unaposingiziwa kitu wanajisikia vipi waislamu wenyewe, uchungu ulioupata wewe na wengine wanaupata the same. Liwe funzo kuepuka kukashifiana humu JF. Ni hayo tu.
 
Leave it to professional,nadhani forensic science inahusika hapa,lazima kuna vielezo ambavyo vilibaki,kama ipo ja ya thabit kuwapata hao wauaji,watapatikana tu
monks.jpg
perachurch.jpg

Picha:
Kushoto watawa wa Peramiho wakiwa kanisani kusali sala ya Ofisio (liturujia ya vipindi) na kulia ni Kanisa Kuu la Abatia Peramiho ambalo zamani yalikuwa makao makuu ya Jimbo la Peramiho iliyokuwa Abatia Nulius (Kuongozwa na mkuu wa shirika la watawa) imezaa Jimbo Kuu la Songea, Jimbo la Njombe na Jimbo la Mbinga, ambayo ni majimbo yanayoongozwa na Maakofu wazalendo.

Shirika la Wabenedition Tanzania ambalo ni tawi toka shirika la Mt. Otilia kutoka Ujerumani kuingizwa kwenye tetesi ya kashfa ya mauaji ya Mwanasheria Mwaikusa, ni jambo la kushtua na si la kawaida, pengine ni mbinu ya kuyumbisha ukweli wa kilichojilia, huku wakihusishwa Br. Aidan OSB na Br. Edmond OSB kwa kile kinachoelezwa sahihi za hao wanashirika la Benediction Fathers Peramiho kukutwa kwenye document ya Mwaka 2003 inayoonyesha wanahisa katika machimbo yamgodi wa Lukarasi.

Jambo linalonishangaza ni kuhusushwa Abate Lambert Dor OSB ambaye ni mkuu wa shirika hilo huko Peramiho, wakati wahusika ni hawa wawili pengine walifanya mikataba binafsi na si shirika.

Ninavyoelewa kuna upungufu mkubwa kuhusu habari hiyo kwa maana kwamba wenye mamlaka katika shirika lao kufanya mikataba si kila mwanashirika, ila ni Procurator wa shirika mwenye dhamana na mambo ya uchumi wa shirika, na udadisi wangu bado sina hakika kama hawa ni wako katika kitengo cha procurator ya Peramiho Abbey, huenda ni miradi binafsi inayofanywa na hao mabradha wawili na hivyo kulitia aibu na miskusuko shirika. Pengine uchunguzi ufanyike kwa kiwango cha kisheria, maana kama habari ilivyoletwa inatoa mswali ambayo kuna upungufu mkubwa wa kulihusisha shirika hilo ambalo makazi yake yako St. Otillien, nchini Ujerumani.

Habari hiyo ni kama ifuatavyo hapo chini nukuru kutoka gazeti la Raia Mwema.

Candid Scope,

..waliofanya mauaji hayo ni WAHUNI.

..watawa wa ukweli hawawezi kujihusisha na ukatili.
Hivi kubakwa watoto sio Ukatili? Mbona the same kanisa lishahusishwa na kiongozi wa dunia papaa aliomba radhi?
La msingi waache vitendo ovu kwa kujificha mgogoni mwa kanisa.. Shame kwa wahusika wote. R.I.P Prof wa ukweli Mwaikusa
 
Last edited by a moderator:
bado nina majonzi ya msiba wa baba askofu Aloysius balina, sitachangia uzi huu leo.
Pole sana, kwa kumuenzi Balina kemea kanisa kuacha maovu na vitendo vya ukatili, hilo litakuwa mchango tosha ukikaa kimya hawataacha huu Umafia worldwide.
 
Yaani siamini kama JF mmetawaliwa na udini namna hii, hii habari ingehusishwa na dini ya kiislam leo hapa wasingepata mtetezi hata mmoja na ikiwa imetokea kwenye credible source kama Raia Mwema ambayo wakileta habari za ufisadi wa serikali na CCM tunasherekea bila hata kuwapa serikali muda wa kujitetea.

Hii inatofauti gani na habari za serikali kumuhua Daudi Balali? Mbona sikuona utetezi wa aina hii? Nimekuwa dissapointed na wana board itabidi habari za hapa niziangalie kwa busara zaidi, tumetawaliwa na udini kuliko objectivity

Sisemi watawa wameua lakini wanaweza kuua maana sio mara ya kwanza na wameua sana, ukiristo kama zilivyo dini nyingine zinaenezwa kwa upanga. So sio habari ya ajabu

Nakupa Big LIKE
 
Watawa wamefunga nadhiri za ufukara kwa hiyo sidhani kama jambo hili linaweza kufanywa na wao. Hata hivyo wao ni binadamu pia hili pia linawezekana. Yuda alifanya deal akamsaliti Yesu!
monks.jpg
perachurch.jpg

Picha:
Kushoto watawa wa Peramiho wakiwa kanisani kusali sala ya Ofisio (liturujia ya vipindi) na kulia ni Kanisa Kuu la Abatia Peramiho ambalo zamani yalikuwa makao makuu ya Jimbo la Peramiho iliyokuwa Abatia Nulius (Kuongozwa na mkuu wa shirika la watawa) imezaa Jimbo Kuu la Songea, Jimbo la Njombe na Jimbo la Mbinga, ambayo ni majimbo yanayoongozwa na Maakofu wazalendo.

Shirika la Wabenedition Tanzania ambalo ni tawi toka shirika la Mt. Otilia kutoka Ujerumani kuingizwa kwenye tetesi ya kashfa ya mauaji ya Mwanasheria Mwaikusa, ni jambo la kushtua na si la kawaida, pengine ni mbinu ya kuyumbisha ukweli wa kilichojilia, huku wakihusishwa Br. Aidan OSB na Br. Edmond OSB kwa kile kinachoelezwa sahihi za hao wanashirika la Benediction Fathers Peramiho kukutwa kwenye document ya Mwaka 2003 inayoonyesha wanahisa katika machimbo yamgodi wa Lukarasi.

Jambo linalonishangaza ni kuhusushwa Abate Lambert Dor OSB ambaye ni mkuu wa shirika hilo huko Peramiho, wakati wahusika ni hawa wawili pengine walifanya mikataba binafsi na si shirika.

Ninavyoelewa kuna upungufu mkubwa kuhusu habari hiyo kwa maana kwamba wenye mamlaka katika shirika lao kufanya mikataba si kila mwanashirika, ila ni Procurator wa shirika mwenye dhamana na mambo ya uchumi wa shirika, na udadisi wangu bado sina hakika kama hawa ni wako katika kitengo cha procurator ya Peramiho Abbey, huenda ni miradi binafsi inayofanywa na hao mabradha wawili na hivyo kulitia aibu na miskusuko shirika. Pengine uchunguzi ufanyike kwa kiwango cha kisheria, maana kama habari ilivyoletwa inatoa mswali ambayo kuna upungufu mkubwa wa kulihusisha shirika hilo ambalo makazi yake yako St. Otillien, nchini Ujerumani.

Habari hiyo ni kama ifuatavyo hapo chini nukuru kutoka gazeti la Raia Mwema.

Mwema ansubiri maandamano ya CDM akaue waandishi wa habari na wauza magazeti. Pinda anasema mauaji hayo yametokana na watu kukataa kutii amri/sheria za kikamhanda. To hell
 
Binafsi sijaona hoja yenye kulihusisha shirika la wamisionari wabenediktini hawa katika mauaji hayo, kwani kama kuonekana sahihi za baadhi yao kwenye mikataba au shughuli mbalimbali ni wengi sana na ni mashirika mengi na watu binafsi walifanya kazi kama hizo na Hayati Mwaikusa. Je hao wote wahisiwe kuhusika na kifo hicho eti kwa vile walisiana kikazi katika uhai wake basi ndio walitoa uhai wake?

Nisingependa mhariri wa gazeti achukue habari za vijiweni na kuifanya habari kuu kwenye gazeti lake isiyo kuwa na utafiti wala vielelezo vya kuridhisha umma kwa shirika kama hili limehusika kukodi wauaji.

Jambo moja hili si shirika la Tanzania, ni la kimataifa, maana yake hali inaweza kuchukuliwa kimataifa kwa vile wakuu wa shirika hilo si raia wa Tanzania, bali ni wa nchi ya kigeni. Ndio maana kuna umihimu Gazeti lithibitishe tuhuma hizo au la likanushe kwa uzito ule ule, vinginevyo lifungiwe kwa uzushi.

Labda Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea Mhashamu Norbert Mtega atatoa kauli. Vinginevyo Mkuu wa shirika lao Abbot Jeremy toka St Otilien Ujeruman atoe ufafanuzi wa kuhisika shirika lake katika mauaji haya.

Sasa nimethibitisha kuwa hizi ndiyo sampuli za watu ambao hupenda kuibuka na kudai kuwa wana majina ya watu fulani wnaojihusisha na suala fulani...au kuficha vitu fulani, wao huongea hisia zao ili kukfanya kuwa busy na kukanusha wao wakiwa na lengo la kukuharibia malengo yako na kukupunguzia Morali, thats wgy I respect Mtikila, yeye akiwa na kile atakachodai kuwa ni ushahidi hapigi kelele bali huenda mahakamani au atatengeneza mazingira ya kukufanya umpeleke mahakamni.

Yaliyomo ndani ya Nyaraka hizo ni maisha ya upande mwingine wa Hayati Prof. Mwaikusa, lakini Mwandishi/Mchunguzi analazimisha maisha hayo na washirika wake kuingizwa katika chumba cha hatia.

Hizo nyaraka zinaweza tu kuchunguzwa kwa lengo la ku connect dots na wala kwa mazingira ya kesi na mauaji yalivyo nyaraka hizo hazikidhi viwango vya kiasi cha kuweza kutumika kama ushahidi.
 
vaticans are the "secret terrorists".....Papa John Paul II alihusika moja kwa moja kwenye mauaji ya wayahudi.....ts not a secret anymore......
 
Back
Top Bottom