simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Sudan and South Sudan are at brink of full blown war, Who exactly owns this patch of oil rich land?
Wadau mimi uwa nasafiri sana kwenda South Sudan na uwa shughuli zangu zinafanya ni interact sana na Government officials, kwa kweli attitude ambayo serikali yao imeanza nayo ni yakusikitisha. Ni wajeuri, hawaheshimu mikataba na makubaliano yeyote, hali hii inatisha na watu wengi wanahofu na mstakabali wa nchi hii. juzi nimeona kwenye aljazira raisi wao akimwambia UN secretary general kwamba yeye hajamuajiri kwa hiyo asimuamurishe kutoka Heglig, hawa jamaa wamesahau kwamba uhuru waliupata kutokana na msaada ya international community, wameshindwa kusoma upepo unavyoenda
Mkuu hata mimi nawashagaa sana! Sijuhi ni nchi gani inawapa kichwa/jeuri, wakawa na ndoto za kufikili wanaweza kuwa na ubavu wa kupigana vita na N.Sudan wakawashinda!
Leo hii nilimuona Raisi wao kwenye TV akilalamika, eti International Community imekaa kimya wakati nchi yao ikipigwa mabomu na N.Sudan ajuhi ni suicidal kubishana na mtu kama UN Secretary General; nasikitika kusema kwamba Serikali yao aitumii busara hata kidogo katika mahamuzi yao - jeuri zao hizo zitakuja kuwa-cost dearly.
Mkuu, ebu tujuze kidogo, hivi Govt officials inawafanyia jeuri raia wote kutoka Africa Mashariki au kuna nchi zinazo pendelewa.