Who owns BP Tanzania Ltd?

nashukuru kwa ufafanuzi!kwa maelezo yako yawezekana dealer ndiye anayecheza mchezo mchafu,ni vizuri tukamjua huyo 'dealer' anayemtunishia misuli mmiliki!
mkuu hata tukimjua sioni cha kufanya maana wa tz sisi ni wazito kuchukua maamuzi magumu. sanasana tutabakia tunatukana vijiweni tu
 
mkuu hata tukimjua sioni cha kufanya maana wa tz sisi ni wazito kuchukua maamuzi magumu. sanasana tutabakia tunatukana vijiweni tu
<br />
<br />
ni vizuri tuingize kwenye records,kwa kuwa sisi hatuwezi kufanya maamuzi basi tuwaachie wajukuu zetu wafanye maamuzi kutokana na records!
 
Waziri wa Nishati na Madini kwa kushirikiana na wazitri wa Fedha watueleze kwa nini walihujumu nchi kwa kukataa kuwaamru BP Tanzania wauze mafuta na kama hasara wangeibeba wao - serikali. Binafsi nadhani umuzi wa kutemremsha bei za mafuta ulilenga kwa kiasi kikubwa kuwapoza na kuwapumbaza wabunge na wananchi ili bajeti ya wizara ya madini na niashati ipitishwe tu.

Si unaona hardly 4 days later wamepandisha beii?

Ninshauri EWURA wawape wafanyakazi wanao husika na kupanga bei elekezi skills za ku-predict trend ya bei za mafuta ktk soko la dunia au waulize na kununua data in advance.
 
Pamoja na TOTAL, vituo vyao vingi haviuzi mafuta ukiondoa makao makuu na mlimani city.

BP na TOTAL kitakuwa kipimo kizuri kwa meno ya ewura kama ni ya chuma ama plastiki.
siamini kama EWURA inatumia meno yake vilivyo
 
Back
Top Bottom