Who Needs A Man When U Can Have This

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
1.jpg .......
 
Bila shaka huyo mwanamke ana midoli ya kila aina. Mdoli wa kumsaidia kupika, mdoli wa kumfungia balbu, mdoli wa kubadilishana naye mawazo etc
 
Boflo mbona sasa haina kila kitu? usingizi unatoka wapi hapo kama kiu bado ipo?




Mwanzoni nilikuwa sikuelewi lakini kidogo baada ya kusoma post zako nimeanza kukulike, senksi kwa hii yuziful koment yako naona watu wanataka kuzalau jinsia dume kwa kisingizio cha utandawazi wanasahau kuwa hiyo midoli yao wanatoitengeneza haina uwezo wa kuambukiza mimba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom