Who knows this???

Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,154
70
Naomba kwa wanaofahamu wanifahamishe nchi yenye sifa zifuatazo ili nianze utaratibu wa kuhamia huko na kuwalea watoto wangu waige utamaduni ninaoutamani

1. Nchi ambayo hawaombi msaada wala kuchukua misaada kutoka kwa nchi zingine

2. Nchi ambayo haipokei mikopo ya kinyonyaji kutoka WB au IMF; badala yake inakopa kutoka kwa wananchi wake kwa miradi yenye tija kwao wenyewe.

3. Nchi ambayo wananchi wanaishi kwa jasho la mikono yao na kurizika, sipendi watu wanaokula wasichokizalisha, wasichonacho, na kujiona wa maana eti wame win!

4. Nchi ambayo wahalifu, wezi, wazinifu, mafisadi hushughulikiwa kwa nguvu zote na huaibishwa mbele ya kadamnasi bila kujali cheo, rangi, dini na kabila lake.

5. Nchi ambayo watu wake hawapendi kupendelewa, kupendelea na wanapopendelewa nafasi, elimu, biashara, etc..kutokana na sababu yoyote ile, aliyependelewa na aliyependelea wanajisikia vibaya na kuacha haki itendeke. zaidi hupewa adhabu kwa aibu hiyo.

6. Nchi ambayo supermarket zinauza bidhaa za ndani na si bidhaa za nje, mfano sipendi supermarket zinazouza machungwa kutoka SA wakati kuna machangwa kutoka Tanga.

Who knows this country on the planet earth???
 
Japan na China zinaweza kutimiza zaidi ya 60% ya mahitaji yako i guess!...you can put them into consideration!
 
Sidhani kama ipo. Lakini zinazokaribia kukidhi matakwa yako ni nchi za Scandnavia.
 
United Arab Emirates is the closest you will get. Hawanyonyi kwa mtu wala hawamnyonyi mtu.
 
Mimi naona ni nchi yoyote hata hapa tanzania. unapaswa wewe na familia yako mka-anzishe makazi yenu pekee bushi saanaa na mkaishi kama bush man kama walivyokuwa wale wa pori la kati ya babati na singida. Kamwe msitamani maendeleo,msitamani radio, magazeti, TV na mkiona wageni kimbilieni bush zaidi, ukaanzishe taratibu hizo huko. Vinginevyo sidhani kama ipo inchi ya wakazi wenye hulka tofauti inaweza kukidhi hayo kiukwelikweli. kwa maana hivyo vyote lazima viwepo ndio challengi ya maisha na kuishi hadi karne kadhaa zijazo ndipo zitaisha au kupungua kama sio kuzidi. Chemsha ubongo popote yote yatajipa utaona fresh.
 
hii nchi mimi naifahamu sana IPO, tena kunamengine zaidi ya hayo yaliyo mazuri zaidi, ndugu zangu, marafiki zangu wengi wamekwishakwenda ktk nchi hiyo!!
tatizo ni njia ya wewe kwenda ktk hiyo nchi maana sharti la kwanza ni kifo...!! je upo tayari kufa ili uingie ktk nchi itililishayo maziwa na athari..???
kama upo tayari basi mwamini YESU KRISTO AWE MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA UTAINGIA KTK NCHI HIYO BURE....!!!
 
Mimi naona ni nchi yoyote hata hapa tanzania. unapaswa wewe na familia yako mka-anzishe makazi yenu pekee bushi saanaa na mkaishi kama bush man kama walivyokuwa wale wa pori la kati ya babati na singida. Kamwe msitamani maendeleo,msitamani radio, magazeti, TV na mkiona wageni kimbilieni bush zaidi, ukaanzishe taratibu hizo huko. Vinginevyo sidhani kama ipo inchi ya wakazi wenye hulka tofauti inaweza kukidhi hayo kiukwelikweli. kwa maana hivyo vyote lazima viwepo ndio challengi ya maisha na kuishi hadi karne kadhaa zijazo ndipo zitaisha au kupungua kama sio kuzidi. Chemsha ubongo popote yote yatajipa utaona fresh.

Good idea, in case kama nitashindwa kupata nchi ambayo tayari watu wake wako hivyo..
 
IRANI.....Ni nchi isyopokea misaada WB, IMF wala kwa wengine, waalifu, wenzi wazinzi wanaadhibiwa bila kujali. wananchi wanakula jasho lao hakuna benefit wala NGOs.

IRANI ni nchi ya pekeeeee ya pekeeeee tena ya pekeeeeeee.
 
Naomba kwa wanaofahamu wanifahamishe nchi yenye sifa zifuatazo ili nianze utaratibu wa kuhamia huko na kuwalea watoto wangu waige utamaduni ninaoutamani

1. Nchi ambayo hawaombi msaada wala kuchukua misaada kutoka kwa nchi zingine

2. Nchi ambayo haipokei mikopo ya kinyonyaji kutoka WB au IMF; badala yake inakopa kutoka kwa wananchi wake kwa miradi yenye tija kwao wenyewe.

3. Nchi ambayo wananchi wanaishi kwa jasho la mikono yao na kurizika, sipendi watu wanaokula wasichokizalisha, wasichonacho, na kujiona wa maana eti wame win!

4. Nchi ambayo wahalifu, wezi, wazinifu, mafisadi hushughulikiwa kwa nguvu zote na huaibishwa mbele ya kadamnasi bila kujali cheo, rangi, dini na kabila lake.

5. Nchi ambayo watu wake hawapendi kupendelewa, kupendelea na wanapopendelewa nafasi, elimu, biashara, etc..kutokana na sababu yoyote ile, aliyependelewa na aliyependelea wanajisikia vibaya na kuacha haki itendeke. zaidi hupewa adhabu kwa aibu hiyo.

6. Nchi ambayo supermarket zinauza bidhaa za ndani na si bidhaa za nje, mfano sipendi supermarket zinazouza machungwa kutoka SA wakati kuna machangwa kutoka Tanga.

Who knows this country on the planet earth???

Ahera,
 
Back
Top Bottom