Who Killed Col. John Garang?

Muite Dr. John Garang.... Southern Sudan waliamini huyo ndio angekua mkombozi wao katika usimamizi wa rasilimali zao!

ndo maana wapenda mafuta wakaamua kupita nae fasta kabla hajasababisha damage zaidi nn ......
 
Niwemugizi, hebu nisaidie kunielewesha katika jambo hili.

1. Watu wengine wanasema hili swala la Msevuni na Kagame kushirikia na kuwasaidia wahasi, tena wahasi ambao wamewahasisi wenyewe, ni kuhakikisha kabila la Kitutsi linashika hatamu ya utawala katika nchi ya Rwanda, DRC, na Uganda, kwa sababu inasadikika kuwa Mseveni ana asili ya Kitutsi, kwasababu kabila lake la Kinyankole kwa asili ni Watutsi. 2. Unafikiri M7 na Kagame watapona na ICC.

Ukweli ndiyo huo wewe soma hii habari ya mtikilia ndiyo utajua, lakini Mseveni na Kagame kwenda ICC itachukua muda sana maana wanatumwa na mataifa yenye ushawishi na hiyo ICCKatunews: Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 nchini
 
Muite Dr. John Garang.... Southern Sudan waliamini huyo ndio angekua mkombozi wao katika usimamizi wa rasilimali zao!

he he he he he he jamaa alikuwa hardliner ile mbaya na kwenye ishu ya mafuta angekuwa mwiba mchungu kwa mabepari aisee......
 
he he he he he he jamaa alikuwa hardliner ile mbaya na kwenye ishu ya mafuta angekuwa mwiba mchungu kwa mabepari aisee......

Jamaa angeweza kusimamia vema rasilimali zao kwa faida ya watu wake wote!
 
Back
Top Bottom