Who is your role model?

Kikokotoo (calculator) changu kibovu, eti kinasema jibu ni 5.

BTW: Namba zote zinazoganyika kwa 9 kati 0-90 zikijumlishwa huwa 9. 9,18,27,36,45,,,,81,90. So thats the multipy by 3 twice thing, same as multiply by 9.

Namba ni kati ya 0 na 9 na sio 0 na 90.
 
Namba ni kati ya 0 na 9 na sio 0 na 90.

Namba za kupick ni kati ya 1 na 9, lakini jibu unalolengeshewa (kabla ya ku'add' digits ni namba zigawanyikazo kwa 9 zilizo kati ya 18 na 90 - multiples of 9 btn 18 and 90)
 
Back
Top Bottom