Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
North or south,East or west, Pele is the best,and has never touched Cocaine.
watu wanashindwa kuelewa ukweli, ukiangalia pele amecheza mpira kipindi ambacho media hazikuwa kama kipindi cha maradona, kitu kinginge pele alicheza mpira wakati dunia ilikuwa bado kwenye lindi kubwa la ubaguzi wa rangi, lakini pamoja na hayo yote wazungu walimkubali Pele bila kujali rangi yake na alijulikana dunia nzima japo vyombo vya habari havikuwa kama vya wakati wa Maradona, pele kacheza mpira wakati ule wa "juu hakuna uwanja" kipa akidaka na akisukumwa mpaka golini refa anaita kati, uruguay ilikuwa inapiga kiatu kuanzia kipa mpaka striker wa mwisho, Maradona kacheza mpira wa kubebwabebwa mna Marefa, kameroun walimgusa kidogo tu akawatukana kuwa ni manyani
watu wanaomsupport maradona ni wale wasiofata historia na kujua fact, mimi sitaona ajabu kwa miaka michache ijayo watu watakuja kusema Messi ni Bora kuliko Maradona