Who is the best, Pele or Maradona?

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
For me, Maradona cannot approach pele;

Facts

Pele enabled brazil to win 3 worls cup finals, maradona only one
Looking at available grainy pictures of Pele, overall skill cannot compare with Maradona
Pele score far more international goals compared to maradona.
Pele played his first worlds cup game at 17(the youngest ever) in 1958 and enabled Brazil to win the world cup for the first time.
Wadau naombeni kujua nani zaidi kati ya hawa waliowahi kuwa nguli wa soka katika sayari yetu hii Edson Arantes de Nascimento al maarufu kwa jina la Pele wa Brazil na Diego Armando Maradona wa Argentina.
pele.jpg
diego_maradona2_1656095c.jpg

Takwimu zizingatiwe tafadhali
 
Sio haki kulinganisha watu wawili waliocheza katika kipindi tofauti. Both wre the best in specific era.
Kuna hata utofauti wa baadhi sheria katika vipindi walivyocheza.
 
Acheni kufuru bana...Diego Armando Maradona ni "Mungu" wa mpira. Mjadala wa Pele na Maradona ni upuuzi mlinganisheni Pele na akina Eusobio, Socrates n.k
 
maradona is the best mazee sema pele alikuwa na wasaidizi wengi ila maradona lilikuwa ni jeshi la mtu mmoja
 
eti Pele alikuwa ana wasaidizi wengi! Maradona alikuwa anacheza pekee yake katika timu nzima? Uliza mchezaji yeyote duniani aliyevuma enzi zile toka Ulaya ya mashariki na magharibi, Amerika Kusini na Amerika ya kati aliyepata bahati ya kuwaona wote wawili halafu hapo ndiyo utajua ni nani anayestahili kuitwa gwiji la soka duniani. Maradona is a cheater.
 
Acheni kufuru bana...Diego Armando Maradona ni "Mungu" wa mpira. Mjadala wa Pele na Maradona ni upuuzi mlinganisheni Pele na akina Eusobio, Socrates n.k

kwanini usiweze kulinganisha?Mbona unajicontradict mwenyewe? unasema huwezi kulinganisha wakati huo huo unamwita maradona mungu wa mpira, umemliganisha na nani?

Pele alishinda Brazil world cup mara ngapi?

maradona alishinda Argentina world cup mara ngapi?

Statistics, unajua pele alifunga magoli mangapi pa capita ukilinganisha na maradona?

Offcourse statsitics zinaonyesha kuwa pele was the greatest.Sio tu handling yake ya mpira ilikuwa perfect, bali football intelligence yake hakuna mchezaji aliyeifikia mpaka sasa.
 
Mzee2000,
Pele kafunga hayo magoli yote mashindano yepi na yepi?
Maradona katamba katika medani zipi za soka?
Maana msije kutuambia kuwa pele kafunga magoli 1000 wakati Romario pia kafunga, je wanalingana pia?
Manakumbuka Mario Jadel aliwahi kuapita wafungaji wakubwa ligi zote kubwa za ulaya akashindwa kuwa mfungaji bora wa ulaya kwa kuwa ligi aliyochezea ilikuwa 'nyepesi' ambayo washindani wengine kama wangecheza huko wangempita?
 
WITH or without pele,brazil would have won the world cup,cause the entire brazil team was made up of top notch stars.Maradona in a team game single handed took the trophy to argentina
 
mnataka kufananisha watu wawili wakati mmoja hamkumuona enzi zake. Maradona na magoli ya mikono pia na kujirusha akiguswa kidogo tu kama kapigwa kisu. Footbal is a team sport si mchezo kama tennis au anao anao kama alivyokuwa maradona ili upate sifa peke yako. Maradona hata siku moja hawezi kulinganishwa na Pele kwa yeyote yule aliyepata kuwaona wote wawili. Wanaomuona Maradona mkali wengi wao hawakuwahi kuona hata mechi moja ya Pele lakini bado wanaweza kutamka kwamba Maradona ndiye mkali!
 
Mzee2000,
Pele kafunga hayo magoli yote mashindano yepi na yepi?
Maradona katamba katika medani zipi za soka?
Maana msije kutuambia kuwa pele kafunga magoli 1000 wakati Romario pia kafunga, je wanalingana pia?
Manakumbuka Mario Jadel aliwahi kuapita wafungaji wakubwa ligi zote kubwa za ulaya akashindwa kuwa mfungaji bora wa ulaya kwa kuwa ligi aliyochezea ilikuwa 'nyepesi' ambayo washindani wengine kama wangecheza huko wangempita?

sasa niambie ni kigezo kipi unampima mchezaji?

Kwa vigezo vyote Pele kamshinda maradona.
 
WITH or without pele,brazil would have won the world cup,cause the entire brazil team was made up of top notch stars.Maradona in a team game single handed took the trophy to argentina

Wrong,
Sasa usiongee what might have been angalia facts.

Brazil walishinda world cup first time 1958, na ndio mwaka wa kwanza pele alianza kuchezea brazil.Na pele alikuwa playmaker mkubwa, kuanzia kwenye passing mpaka kufungu magoli.Alishinda world cup miaka 3 yote aliyocheza, sasa nijibu, kama Maradona alikuwa mchezaji mzuri kwa nini single handendly alishinda world cup mara moja tu? Mbona mwaka uliofuatia alishindwa?

Mchezaji mzuri asiyebahatasha lazima awe consistent, Pele alikuwa consistent uwezo wake ulionekana mara zote alizocheza world cup lakini baada ya maradona kushinda world cup ya kwanza nguvu zote ziliisha.

Pele scored more than 1,000 goals, Maradona hakuweza kukaribia hayo magoli.
 
Boban mkali kuliko wote maana kakataa kuchezea nje malipo kidogo ambako wote hao walikimbilia...the guy is hotter than them.
 
mtu yeyote aliyetahiriwa Hospital ni lazima atakubaliana na Uwezo wa Mungu wa Soka kutoka ktk viunga vya Buenos Aires, hapa namzungumzia Armando Diego Maradona ambaye ametamba na soka la huko kwao America ya Kusini na kisha akaja kuwatia jambajamba wazungu barani ulaya kitu ambacho Pelege mavi kashindwa kukifanya.

Pilika za Pelege Mavi ziliishia kulekule Amerika ya kusini.
Lakini hajawahi cheza soka ktk ligi za Ulaya.
Msikurupuke.

Na kuna mtu namstahi tu nimemuona kachuma dhambi hapo juu kwa kusema kuwa eti maradona alikuwa anacheza mpira wa ''anao anao''.

Sasa je hizo anao anao watu walikuwa wanamnyang'anya bila kumpiga Ngwala?

Na kwa taarifa yenu sasa kuna jembe linaitwa Garincha hili ndo lilikuwa mipango yoote ya Brazil kwa miaka ile.

Nenda Brasilia nenda Rio di Janeiro nenda kwenye vijiji vilivyozunguka misitu ya Amazon na utapata taarifa za Muheshimiwa Garincha.
Pele ushuzi tu.

Kuna mwaka Pele aliwahi kujishaua kwa kusema yeye ametumwa na Mungu kuja kuwafundisha wanadamu Soka.

Kisha Kamanda Maradona akajibu na kumwambia kuwa hana kumbukumbu yoyote kama amepata kumtuma mtu kuja kutufundisha soka...

Kwa hiyo mpk hapo utagundua kuwa Mungu wa soka ni Mtoto wa Kiargentina
 
Pele kashindwa kutamba ulaya?Kung'ara kuliko wachezaji wote wakati wa world cup tena kushinda mara tatu halafu unasema hakutamba ulaya?

Ametamba ulaya kuliko hata maradonona tena mara 3.
 
HAPA naona kuna ubishani aina mbili,wa kijiweni na kisayansi-mnazi wa soccer atakwambia pele ndio mkali lakini ukikutana na mahojiano ya akina marehemu bobby robson,akina g muller,akina f bekenbaur utaambiwa maradona alishushwa na ndio chaguo la mungu
 
Back
Top Bottom