Who is the best make singer Freddie mercury or Michael Jackson

Huyu dada huwaga thread zake ni utata,kiingereza cha ugoko anasingizia iphone hana muda wa kuangalia spelling.sijui kamsikia mzungu gani huko ndo kakurupuka manake huyu ni mmoja wa waabudu wazungu anadai yeye ni republican
 
Sauti ya Freddie mercury si mchezo,Michael good performer
 
Nyinyi mgoogle who is the best Michael Jackson au Freddie mercury.Tmz Fredy alimzidi Michael Kwenye sealing Hilo nendeni online chekini.mimi nilikuwa nabisha hivyohivyo.nilivyojaribu kusikiliza

du freddie ndo namsikia leo,lakin michael jack sina hata haja ya kugoogle.
 
Mbona hawalingani kabisa? Hata mkimlinganisha na Bobby Brown nitamchagua BB.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom