Who is the best make singer Freddie mercury or Michael Jackson

Michael Jackson ni moto wa kuotea mbali hata sio wakumfananisha na huyo jamaa.
 
Are you serious?mfuatilie vizuri King then uje na jibu!dah umemdhalilisha sana MJ
 
Nyinyi mgoogle who is the best Michael Jackson au Freddie mercury.Tmz Fredy alimzidi Michael Kwenye sealing Hilo nendeni online chekini.mimi nilikuwa nabisha hivyohivyo.nilivyojaribu kusikiliza
 
Hizo kura si wanapiga tu wabaguzi fulani hivi!nenda na ww ka google records zao utaamini who is MJ.au uliza freddie ana guinness records ngap as well as MJ,au msiba wa nani kati yao ulitingisha dunia?unanikumbusha kuna kipindi radio one. vijana walisema shania twine ni zaid ya dolly patton!
Muache mfalme apumzike kwa amani dada usimlinganishe na huyo gay ingawa ana asili ya Tanzania
 
Freddie mercury ni nani wadau? ameimba nyimbo gani?

Ni mpersian mmoja alizaliwa Znz na alikufa kwa ngoma in early 90's alikuwa shoga aliimba nyimbo kama Barcelona,Bahmein Rhampsody(kma sijakosea spelling)na crazy little thing called love kama umeshalisikia kundi la queen ndo mmoja wa member.
 
Nyinyi mgoogle who is the best Michael Jackson au Freddie mercury.Tmz Fredy alimzidi Michael Kwenye sealing Hilo nendeni online chekini.mimi nilikuwa nabisha hivyohivyo.nilivyojaribu kusikiliza
Ukali wa MJ si mpaka ugoogle uko bayana!kuonyesha upimbi wako hadharani unakiri kama MJ ulikuwa unamkubali ila baada ya kugoogle ndo unatema shudu zako hadharanai!!!MJ ni king!
 
Hizo kura si wanapiga tu wabaguzi fulani hivi!nenda na ww ka google records zao utaamini who is MJ.au uliza freddie ana guinness records ngap as well as MJ,au msiba wa nani kati yao ulitingisha dunia?unanikumbusha kuna kipindi radio one. vijana walisema shania twine ni zaid ya dolly patton!
Muache mfalme apumzike kwa amani dada usimlinganishe na huyo gay ingawa ana asili ya Tanzania

Naumbu usipate tabu ,hapa zanzibar kwao(zamani) hawamjui na wanaomjua si kwa muziki wake bali kwa kuwa alikuwa ana..gwa nao,nyumba yao sasa ni duka la vinyago na upuuzi mwingine na wapo wageni wanaokuja kutaka kujua stori yake wakioneshwa nyumba aliyokuwa anaishi ,wananunua kinyago cha kimasai -nduki lao hakuna ishu ya huyu mtu.lakini muulize mtoto ,mtumzima yeyote who is Mj atakuelezea huku akiimba au kuzirudi nyimbo za mj.halafu waaache kufanya maoni ya watu fulani kuwa ndio ukweli !
 
Ni mpersian mmoja alizaliwa Znz na alikufa kwa ngoma in early 90's alikuwa shoga aliimba nyimbo kama Barcelona,Bahmein Rhampsody(kma sijakosea spelling)na crazy little thing called love kama umeshalisikia kundi la queen ndo mmoja wa member.

'we are the champion' mojawapo ya nyimbo zake maarufu!
 
Huyo mercury alishawahi kuwa maarufu? Lini na wapi? Kwa lipi? Ndiyo kwanza namsikia leo,nina cd za Mj,ikiscratch kidogo naitupa naenda nunua ingine,michael ni dunia nyingine!usimfananishe na huyo anonymous wako,gone too soon.
 
Back
Top Bottom