Who is superpower in EAC? TZ or Kenya?

Ni Kenya, lakini wameanza sisi tulipokuwa tumelala kwa Ujamaa wa Nyerere na Ushuziushuzi wa Mwinyi, nadhani tumshukuru tu Mkapa kwa hapa tulipo si haba, hapa tumpate tu Lowassa ikiwa Cm au Mbowe Cd
 
Wanajamii,
Kila ukanda una nchi ambayo inachuliwa kama super power. Mfano S.Africa ni top kwa ukanda wa southern, Egypt north, nigeria West Africa na Angola Central Africa.

Sasa ndani ya jumuiya ya Africa Mashariki nani zaid? Wanansema Kenya je ni kweli? na tutumie vigezo gani ku-grade nchi.

hivi Angola iko Central Africa? hii ni mpya kwangu, au ni kwa vile nilisoma Janja janja Primary School na hatukuwa na mwalimu wa Jogi???

by the way...swali lako ni subjective na linaweza kuwa na jibu zaidi ya moja kutegemea na vigezo unavyotaka kutumia:

1. Kiuchumi na Maendeleo ya kijamii ya vitu na watu....hakuna ubishi Kenya wako mbali sana

2.Kisiasa....again Kenya wametuzidi, wakati sisi tunapiga porojo za katiba mpya, kenya walishaipata hiyo kitu ingawa ni kwa mbinde sana, jambo baya lakini uzuri wake ni kuwa mchakato wake una political legitimacy ya wananchi wakati sisi kila mtu, "tunamshukuru Mh...kwa kutuletea katiba mpya....." maana si haki yetu bali favour fulani. Pamoja na ufisadi uliotamalaki Kenya lakini huwezi kumsikia rais wao akijitapa, mafisadi nawajua na dawa yao iko jikoni...kiama chao ni Oct 31(kumbuka kauli ya mkulu pale mjengoni back in 2009 nadhani).

3. Kijeshi...hili ni gumu kusema maana hyo mambo ni siri sana, lkn pengine sisi tukawa zaidi maana kwa asili nchi za kijamaa zimewekeza sana kwenye majeshi hasa kwa kuwa na jeshi lenye askari wengi na ukizingatia kuwa sisi tu wegi zaidi kwa idadi ya watu.

kwa kifupi nadhani Kenya wametuzidi na pengine ni kwa kukubali hilo ndiyo sababu sisi tumekuwa wazito na kwa kweli tuawaogopa sana wakenya katika kuelekea kwenye shirikisho la Afrika Mashariki.

Mwisho...siku hizi hilo neno Superpower halitumiki sana....nchi hazilinganishwi kwa u-superpower bali kwa economies zao na ndiyo maana utasikia the largest economy in the world ni USA, ikifuatiwa na China, Japan, Germany......etc.

biashara ya u-superpower ilikwisha na Cold War, kuanguka kwa USSR, Yogoslavia, CheckSlovakia, Berlin Wall na kuungana kwa Ujerumani mbili.
 
Tatizo tuliyo nayo waafrika ni kukubali kuwa mambo husukumwa kwa wakati na hayawezi fanana kote. Historia inatuonyesha picha za Ulaya na hatua zimepiga katika maendeleo katika sekta fulani flani.. kijamii au kimaendeleo. Kuna uzito mkubwa kwanza kwa wanaAM kukubali matokeo tulio nayo sasa kwa sababu kuna mvutano mkubwa ndani ya wananchi unaoshinikizwa sana na forces za siasa.

Ingawa ni wazi ulivyosema na kweli Al Zagawi kigezo mataifa yanatumia sasa hivi kujipima kama super-power ni kuwa na hazina kubwa ya fedha kwa mfano EU/ujarumani, uwezo/uhuru wa kutekeleza shughuli za kijeshi barani bila vikwazo kutoka UNSC, uwezo wa kubuni sera binafsi bila kuingiliwa na watu kutoka nje ya taifa za kutambulikana na jamii ya kimataifa na kuyatekeleza kwa uhuru. Kwa uchache haya ndiyo mambo yanaangaziwa sana.

Lakini nikosoe kuwa neno super-power ni jina linatumika sana hata wakati huu. Ukizingatia shughuli za mataifa kama marekani na ulaya na njaa yao ya kumiliki sehemu za rasimali ya humu barani. Utagundua, mataifa haya huweka thamani kubwa kwa rasilimali za Afrika maana wamekosa hizi mali. Wengi wao hutumia hizi rasilimali kama vifaa vya kuendeshea na kupanua uchumi wao. Lazima tujiulize ni kwa nini wanakimbilia mali hizi?
 
Last edited by a moderator:
A superpower is a state with a dominant position in the international system which has the ability to influence events and its own interests and project power on a worldwide scale to protect those interests. A superpower is traditionally considered to be a step higher than a great power.

Your definition is subject to a generalized and a global perspective of who a superpower is. But according to the question posted, it is subjective within the EAC boundaries. Discuss the "superpower-tag" according to question posted (within the eac terms)
 
Simply none.
 
Simply none.
Naona kuna tatizo na mfumo wa elimu uliyopitia. Nisamehe nikuelimshe angola is not an east and central country. Neither is it a member of the EAC. Neither is SA. Within EAC Kenya is na sio porojo au siasa za ugali na mboga.
 
Kenya wanaotegemea wakiuana aje Mkapa na Kikwete kuwatuliza? usitake nikucheke.
 
hivi Angola iko Central Africa? hii ni mpya kwangu, au ni kwa vile nilisoma Janja janja Primary School na hatukuwa na mwalimu wa Jogi???

by the way...swali lako ni subjective na linaweza kuwa na jibu zaidi ya moja kutegemea na vigezo unavyotaka kutumia:

1. Kiuchumi na Maendeleo ya kijamii ya vitu na watu....hakuna ubishi Kenya wako mbali sana

2.Kisiasa....again Kenya wametuzidi, wakati sisi tunapiga porojo za katiba mpya, kenya walishaipata hiyo kitu ingawa ni kwa mbinde sana, jambo baya lakini uzuri wake ni kuwa mchakato wake una political legitimacy ya wananchi wakati sisi kila mtu, "tunamshukuru Mh...kwa kutuletea katiba mpya....." maana si haki yetu bali favour fulani. Pamoja na ufisadi uliotamalaki Kenya lakini huwezi kumsikia rais wao akijitapa, mafisadi nawajua na dawa yao iko jikoni...kiama chao ni Oct 31(kumbuka kauli ya mkulu pale mjengoni back in 2009 nadhani).

3. Kijeshi...hili ni gumu kusema maana hyo mambo ni siri sana, lkn pengine sisi tukawa zaidi maana kwa asili nchi za kijamaa zimewekeza sana kwenye majeshi hasa kwa kuwa na jeshi lenye askari wengi na ukizingatia kuwa sisi tu wegi zaidi kwa idadi ya watu.

kwa kifupi nadhani Kenya wametuzidi na pengine ni kwa kukubali hilo ndiyo sababu sisi tumekuwa wazito na kwa kweli tuawaogopa sana wakenya katika kuelekea kwenye shirikisho la Afrika Mashariki.

Mwisho...siku hizi hilo neno Superpower halitumiki sana....nchi hazilinganishwi kwa u-superpower bali kwa economies zao na ndiyo maana utasikia the largest economy in the world ni USA, ikifuatiwa na China, Japan, Germany......etc.

biashara ya u-superpower ilikwisha na Cold War, kuanguka kwa USSR, Yogoslavia, CheckSlovakia, Berlin Wall na kuungana kwa Ujerumani mbili.

I may not entirely agree with you but the points are well articulated. Thumbs up:dance:
 
Kenya wanaotegemea wakiuana aje Mkapa na Kikwete kuwatuliza? usitake nikucheke.

This is living in self-denial my friend, ndio haya siasa za ugali na mboga nazumgumzia juu yake. Mwenye kutoa mada anataka kujua kitakwimu EAC nini nani anaongoza na wewe na tumbaku unazotumia kila asubuhi zimekuzidi na inafanya unapindisha mada kwa kusudi la kujifurahisha mwenyewe. No my friend; you cant stroke you ego by living in your own disgression.
 
kenya iko juu kwa hapa east africa. na kama wakichimba mafuta na sisi tukaendelea kulala tu ndo kabisaa hatutakuja tuwakute, kwasababu wao wakipata opportunity huwa wanaitumia vizuri sio kama sisi..hawa jamaa wangekuwa na gold kama sisi, wangekuwa wamefanya vitu bora kuliko tulivyofanya sisi...siwapendi lakini ukweli utabaki palepale, wenzetu kidogo wamepiga hatua..lakini hata hivyo, kama tukijipanga vizuri, tunaweza kwenda nao sambamba tu...ila lazima ccm iondoke madarakani ndo mambo yataenda vizuri hapa tz..kama KANU ilivyoondoka kenya na mambo yakaanza kwenda vizuri.
 
kenya iko juu..kwanza wananchi wake wamefunguka...they can see an opportunity and grab it... pia wanaweza kuipeleka speed serikali iwe ni kwa mgomo au kwa kusema no to anything that they dont want...pia wako ready to learn more that sie...we are too slow and scared..
 
Rwanda ndio super power...inajenga miundo mbinu ambayo super powers wote lazima wawe nayo. Barabara nzuri, elimu nzuri tena kwa wote. Mambo ya kusema super power wakati hakuna lolote la maana linaloendelea ndio inakuaje. Si kujaza namba tu bila kuwa na impact yoyote?
 
you want to know what nation is a super power just look at the following:
1) Economy size/purchasing power. Kenya has a larger purchasing power undisputably. Bugdet statements are one good citations for this as they are an intended policy on expected levels of spending.
2) military prowess & adventures; no east african nation has faced a modern conventional army of late. But if so, Ethiopia has an upper hand. The tanzania war was a walk in the park fighting wheelbarrows with oxes. Armies are more mechanised now
3) military bugdet, infantry size, level of sophistication in its mechanized force.
4) Airforce/air calvary power
i have avoided education and intutive/cognitive indexes as they project little of who is a power house.
With the above stats; Kenya sits pretty comfortable.
 
I believe that at this time Kenya is the superpower in the region although Tanzania might not far behind; Tanzania lost her prowess several decades ago when politicians lost interest in the nation but rather concentrated their efforts to their own stomachs. There is every chance that Tanzania can regain the leading position again once CCM is dumped, although that is not guaranteed because of the many contractual blunders committed by CCM buffoons!
 
you want to know what nation is a super power just look at the following:
1) Economy size/purchasing power. Kenya has a larger purchasing power undisputably. Bugdet statements are one good citations for this as they are an intended policy on expected levels of spending.
2) military prowess & adventures; no east african nation has faced a modern conventional army of late. But if so, Ethiopia has an upper hand. The tanzania war was a walk in the park fighting wheelbarrows with oxes. Armies are more mechanised now
3) military bugdet, infantry size, level of sophistication in its mechanized force.
4) Airforce/air calvary power
i have avoided education and intutive/cognitive indexes as they project little of who is a power house.
With the above stats; Kenya sits pretty comfortable.
Modern conventional army?
which one? Al shabaaz or whatever the hell you punks call'em?

Speaking of military budgets, who's powerful Thailand or North Korea? France or Russia? .... Mexico or Cuba?

Education? .... what do you mean by Education? Do you think Kenyans are more educated than Saudis? Well, you are right but whose economy is better?
Tanzania still controls East Africa, even our police cross the border and slaps your punk ass bandidos and your B!*ch ass nation don't do nothing!!
We have history, you don't!! so just go back and drink some porridge Omella!!
 
Come back after you know what education means because you look like you badly need it.......:brushteeth:
 
Back
Top Bottom